Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimejua maana ya Arosto sasa 🙌

Mkuu INSIDER MAN hutuonei huruma hata sisi Wazee ndugu yangu🤪

Fanya kuachia Ep nyingine tupunguze Arosto, maana nilikuwa nimeshavaa miwani yangu ya macho kwaajili ya kusoma pamoja na Popcorn 🍿
 
Mwambie atulie kwanza mpaka tutoke kanisani...
 
Umaarufu umekunogea....hapo utaleta episode za nyongeza ilimradi uzi uendelee kubaki relevant. Huoni jinsi watu wako wa karibu wanavyodhalilishwa humu sababu ya kuvuta kumaliza hiyo stori upo okay with that???
Alafu anaweka habari zangu bila Ruhusa yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…