Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kapatwa na nini mzee wa kismati cha bahasha za mamilioni?? Ni kweli amepata ajali au anaumwa kama members wanavyosema?? Mungu amjalie apate nafuu haraka ( kama ni kweli)
 
Kwa upande wangu hii Arosto na huu ukimya Mkuu unatupoteza kabisa ukizingatia na hii hali ya hewa hata wewe mleta uzi kwa upande wako tuangalie na sie kwa hili na hili na kwa upande wa Wajumbe wenzangu humu ndani
 
Nakuja
 
Narud
 
Nakubar
 
Soma kujiburudisha, elimu ilikua vipande vilivyopita mkuu, huku mbele ni mizagamuo na chai za hapa na pale.

Kama hukuwepo wakati jamaa anatema hints za janjajanja za uber basi nakushauri anza mwanzo.
 
Unasafari ndefu sana, tuko na Arosto hapa jamaa toka apewe bahasha kapotea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wabongo hapana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Narudi
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…