Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wee, mimi nilimfuma aliyekuwa mume wangu live lakini hata sikumdhuru mtu. Nilimuacha sababu ya utapeli na akili kisoda. Wala sikuhangaika na mtu mie, nilienda mahakamani nikavunja ndoa. Na maisha yameendelea tena vizuri tu.

Mko wa chache wa aina Yako. Hata hivyo inaonekana Kuna vitu jamaa yetu alikupitisha ukafikia hiyo hatua. Awali sio rahisi sana.

Hongera Kwa maamuzi thabiti na pole Kwa misukosuko
 
INSIDER, TAFADHALI SANA CHUKUWA HAYA MAANDISHI, PRINT NA UYAWEKE KWENYE LAMINATION ILI UWE UNAKUMBUKA KLA SIKU. HUU NDIO UKWELI AMBAO HAUNA CHENGA YA UNAFKI. KUMBUKA MAMA J ALIONDOKA KWA SABABU YA MSG ZA PRISCA, IMAGINE AKISIKIA UNA MTOTO TENA UMEZAA NA IRYN.
 
Wee, mimi nilimfuma aliyekuwa mume wangu live lakini hata sikumdhuru mtu. Nilimuacha sababu ya utapeli na akili kisoda. Wala sikuhangaika na mtu mie, nilienda mahakamani nikavunja ndoa. Na maisha yameendelea tena vizuri tu.
Doh aisee pole sana en kudos kwa kumoveon.....honestly binafsi ikinikuta hiyo hali sitamdhuru mtu ila lazima ntafanya jambo ili angalau akihisi nilichopitia
 
Eti bro Watu8 katiba ya kibazazi inasemaje? Amchane mama J kabla hawajaanza process za kubariki ndoa au akaushe mpaka watakapofunga ndoa aje agundue tu mwenyewe kwamba jamaa ana familia nyingine na Iryn?? Ila wanaume mna siri daaahhπŸ™ŒπŸ™Œ


Ndio maana tunakufa mapema
 
Ni kuambie kitu, hakuna kitu kizuri kama ku move on bila kulipiza kisasi, utapata amani ya moyo
Wanasema your tolerance over something ndo inafanya watu waku treat vipi......anyways siku yakinikumba i'll remember your advice[emoji120]
 
Ewaaaaaa nachosema mimi ni ule ukweli tu na uwazi ili mtu ajue ndoa anyoiingia ina jambo hili hili na lile... mapemaaaaaa
 
Ningekua mimi ndo mama J. Bora usiniambie mpaka mtoto atakavyokua mkubwa maybe miaka 10 huko tukiwa tushakuwa watu wazima zaidi tunafikiria majukumu zaidi.

My dad alimficha mama kwamba ana mtoto. Mama akaja kujua mtoto akiwa 20yrs, akamwambia tu baba amlete mtoto amuone.

Ila sasa hivi mapenzi bado ni moto moto, mimi nashauri usimwambie mama J. Kuhusu kuwaambia wazazi hapo labda wenzangu wakusahauri. Ila mzazi wako anaweza kukwambia mwambie mkeo na tunarudi pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…