Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kuna mambo
Mengi sana ya kujifunza ikiwa hujapata lolote wewe sio chochote yaani Ni empty mind
 
Humbleness
Fighting spirit
Self confidence
Risk taking
Essence of being a man of people
 
Natengeneza business cards wakuu tuungishane[emoji123]
 
Episode 70 ya mimba ya Iryn hii hapa mkuu!

Lastmost
 
Hujasoma zote mkuu. Hatusemi sio nzur lkn kuna story maridade sana.

Flow ya wakina UMUGHAKA13 , BM X6 Singano jr nk nk
 
Uber wenzangu naombeni Ushauri, Nimepata vichwa 3 natoka navyo Tegeta kwa ndevu mpaka Posta mpya na nina waacha kila mmoja ofisini kwake na kuwarudisha hom. Sasa nataka tengeneza mkataba wa mwezi, Je ni walipishe kiasi gani? , na wote financially wako vizuli wa3 wanafanya kazi Bank, 1 ni IT wa Taasisi flan hivi na mwengine huwa namshusha Ubalozi wa XXX.
 
Hi riwaya ímeandikwa vizuri sana. Mimi nilianza ilipoanza. It's griping and exhilarating. Episode Moja kwenye mwanzo za sitini nilisoma paragraph Moja siku tatu kwasababu ya uwezo mkubwa wa muandishi kumuweka msomaji kwenye viatu vyake.Binafsi naona ungeganya masters ya fasihi ingekuwa impactful sana kwenye Jamii ya fasihi andishi ya kiswahili.Insider unakipaji kikubwa mno Cha kuandika fasihi. Kila la kheri. We have enjoyed reading this beyond words.May God bless you, your family and mistress especially Irene.
 
Lazima wkt unaenda SA Mama J alikuwa hakuelewi.
 
Bachelor ya economics mpaka Masters ya fasihi? Duh [emoji849]
 
Habari mkuu,
Kwanza kabisa hongera kwa namna ulivyotuburudisha na kutufunza mambo mengi kuhusu maisha. Hasa, jinsi ya kutengeneza connections na kuziona fursa.

Pili, ninaomba kupata maoni yako kuhusu sehemu ya kununua Ardhi ya kuwekeza kwa hapo baadae ndani ya mkoa wa Dodoma
1. Nzuguni
2. Msalato
3. Chahwa
4. Chamwino
5. Mahomanyika
6. Ntyuka

N.B Mtu yeyote mwenye details za kutosha kuhusu fursa za Ardhi ndani ya mkoa wa Dodoma hasa yale maeneo mapya yanayokuwa kwa kasi, usisite kushare nasi.
Ahsanteni
 
Hongera Sana INSIDERMAN kwakweli umeandika kwa hisia kubwa Sana hasa kwa Mimi niliekuwa nafuatilia story Yako...nimejisikia furahaa Sana, nikwambie Kitu Mjomba" tafuta namna umpige mimba mama j before it's too late hata km mtafunga ndoa...najua hutonielewa this time lkn utanielewa baadaye sana.
Hongera Sana Kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…