Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Inaonekana Love yako ni kubwa kwa Iryn kuliko kwa Mama J..angalia namna ya kurekebisha hilo...
ni njaa na umasikini hajitambui na yuko cheap he has price hapo atokeee mtoto wa mama janet kumpenda na ampe ela zaidi au kama irene atatoka nae hana tofauti na kujiuza he is a valueless man hana pride mwili wake na hisia zake ziko sokoni
 
Kwani kinachokuuma wewe nini??au wewe ndiye ulipigwa chini na sterling INSIDER MAN??😀
 
ni njaa na umasikini hajitambui na yuko cheap he has price hapo atokeee mtoto wa mama janet kumpenda na ampe ela zaidi au kama irene atatoka nae hana tofauti na kujiuza he is a valueless man hana pride mwili wake na hisia zake ziko sokoni
Makasiriko pro max.......!
 
Twende taratibu.
Sababu ya kumsonya nini?
 
ni njaa na umasikini hajitambui na yuko cheap he has price hapo atokeee mtoto wa mama janet kumpenda na ampe ela zaidi au kama irene atatoka nae hana tofauti na kujiuza he is a valueless man hana pride mwili wake na hisia zake ziko sokoni
Roho ya korosho
 
Dah maoni yamekuwa mengi itabid huu Uzi uchapishwe kwenye jarida maarufu la Bongo magazine na Kisha kupelkwa marekani kuchapishwa kwenye magazine ya Washington Post

Sawa Mr insider man mzee wa papuchi
Hakuna kitu kitamu kama papuchi! Uikute kwa manzi msafi, mzuri na anayejitambua! Utaichakata mpaka utake kufia hapo! Wanaume hapo Mungu alituweza! Tulitokea kwenye papuchi tukaingia duniani na tunatumia maisha yetu yote kutaka kurudi tulikotokea kukiwa wima badala ya kutanguliza kichwa chenye nywele tunatanguliza kichwa cha mkuyenge!
 
Karibuni Dinner ndugu zangu[emoji1544]
Weekend huwa natoka na mama J wangu tuna enjoy kama hivi.
View attachment 2811866
Shukrani sana Yaani.sasa.tumejua vijiwe vingi sana kutoka kwako.Na Tunashukuru Sana kwa kuwa na moyo mzuri wa kutenga muda wako adimu na kutusimulia.mengi.Wengi tumejifunza tumeburudika na hasa somo kwa.no body knows tomorrow.Kikubwa kutokata tamaa na kutokuwa na tamaa.Watu wengi hawajui.Kilichomsaidia Sana Insider no ule moyo wake wa kutokuwa na tamaa ila tamaa baada ya kuikataa ikaanza kumfuata yeye Yaani Hawa watu wenye pesa we onyesha tu uaminifu kwao basi umeula.Ridhika tamaa weka nyuma
nakwambia yatakukuta Kama ya insider.Kitu kingine siombei asiwe na mama J Ila Kuna kauli alikuwa anamtamkia Ryne sikuzipenda mfano 'nipp tayari niwe mkeo wa pili 'eti insider akajibu dini yangu hairuhusu wake wawili Ila kuwa.mama mtoto wangu..Jamani kauli hii si ya kiungwana hata kidogo mtu hajaoa bado hayo anayatoa wapi?Kama kuwa na mahusiano nje ni yeye na especially kwa mtu anayemtoa kwenye Hali flan ya maisha kumpeleka mahala Kuna namna angejibi.sio rude.vole japo ndo ukweli.Insider anajifanya anampenda Sana Mama J lkn Matendo yake hayasadifu anachofanya nje.Kama kumnafikia Mama J akiwa na Irene Mara kamsalimie akirudi wapo wote Yaani hufanyi hivi kwa mtu unayempenda ndo Mana hata jibu lile sikulipenda Kama umeamua umeamua Bora angesema nitangalia Cha kufanya sio eti Dini.hairuhusu so hairuhusu ivyo ila inaruhusu kucheat????
 
This was very touching indeed, kuna nyakati unasoma mpaka unajiona wewe ndo muhusika. Imenikumbusha miaka ya 2007 ama 2008 nikiwa geto Sinza nacheki ki-tv cha hitachi (chogo) nikamuona mrembo kutoka UG, nikajisemea moyoni "kumbe jirani zetu nao si haba!" Nikaja kujua anaitwa Zari, sina hakika kama Diamond tayari alisha trend, baada ya hawa wawili kuwa pamoja nikesema "kweli kabisa you never know what life might be to you " maana sikuwahi kuwaza kama ipo siku hawa wa2 wangekuja kuwa pamoja. Mlango 1 ukifungwa mwingine unafunguliwa, maana tazama, mkataba wa Insider ulipo koma akaona Uber ndo suluhu kwa wakati huo. Uber ni nyingi na jamaa kakuta kuna wakongwe kwenye game, ila kwanini ikawa yeye kukutana na mrembo Iryn? Maana yake, kuna mambo ni lazima yatokee kwa kila mwanadamu kwa namna yoyote iwayo. All in all life goes on...
 
Asante sana. Unamaoni yoyote kuhusu Chahwa
 
Hahahahaa dini hairuhusu kuoa wake wawili ila nimekupa heshima ya kuwa mama mtoto wangu. Hahahhaa kampa heshima ya kumfanya Single mother wonders aisee.
 
Hahahahaa dini hairuhusu kuoa wake wawili ila nimekupa heshima ya kuwa mama mtoto wangu. Hahahhaa kampa heshima ya kumfanya Single mother wonders aisee.
Mtu hajaoa halafu anasema dini hairuhusu? Kwa hiyo dini inaruhusu kuwa na mchepuko?
 
You know nilikuwa nam challenge jamaa na sikutaka watu wajue mwisho utakuwaje, na mmekuwa suprised. [emoji23]
Hakika MUNGU anamakusud na ww mkuu,, nikuombe tu usisahau kutuletea mlejesho wa mtt akizaliwa na ulimuowa kabsa lryn Kwa ndoa? Na ulifanikiwa kumtambulisha kijacho au vip,, big up insider na ujuwe tu lryn tumemla ote Kwa kuemagine hahahahahah
 
Sio kwamba wengine wanakutana nao Ila hawajashare tu story zao? biashara yoyote inayohusu kukutana na Watu tofauti lazima haya yatokee Ila inategemea na wewe ulivyo na unavyohandle your issues.Mfano yule Dada wa Kenya Akothee unajua mwanzo wa mafanikio yake ni biashara ya Tax baada ya kutoka kuwa mama Ntilie na akanza kukutana na Different foreigners na Khaaaa akala bingo la mzungu akazaa Naye kwa hiyo hapa inategemea na mtu anavyochezesha karatasa haya uaminifu ndo Siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…