Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN, nimeona ulipost hii 2021, je ni wewe?? Na kama ni wewe mbona ni haiendani na uhalisia wa unachoeleza hapa??@Insiderman
Wakati nafanya kazi na taasisi X niliingia kwenye mahusiano na uyo binti na ndo chanzo cha ugomvi wetu mimi na mama J. Ukisoma Episode za mwanzoni utaona wakati naanza Uber mama J alikuwa home, sababu kubwa alikuwa huyu demu, sijataka kuweka personal life yangu yote mtandani. Ukirudi kwenye hio thread utaona nilielezea vzr kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…