Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unasoma uongo? Unakusaidia nini?Nitunge UONGO alafu ukusaidie nini mwambieni aweke picha za matukio yote aliyosimulia km ataweka hata picha moja nipigwe ban sana sana ataenda kwa wadau wa airport pale kuwapiga Jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya
😇 No hard feelings mkuu nimesema tu kwani ulitaka kusemajeKwanini unasoma uongo? Unakusaidia nini?
Ya mwaka huu au mwakani?ANNOUNCEMENT
Guys mambo vipi?
Tukutane Easter kwa muendelezo wa season 2.
[emoji1787], kweli watu wamevurugwa. Angalia tarehe hapo mkuu.Ya mwaka huu au mwakani?
Trust nobody [emoji817]INSIDER MAN, nimeona ulipost hii 2021, je ni wewe?? Na kama ni wewe mbona ni haiendani na uhalisia wa unachoeleza hapa??@Insiderman
INSIDER MAN njoo ujibu huku
Nimewahi siti ya kati kwenye korido🙄🤣🤣🤣🤣🤣🤣ANNOUNCEMENT
Guys mambo vipi?
Tukutane Easter kwa muendelezo wa season 2.
March 31, 2024
Ukitafuta uhalisia wa Watu katika Taifa la JeiEfu, UTAKOMA. Wee furahia utamu tu na acha kuwaza unatokea wapi!INSIDER MAN, nimeona ulipost hii 2021, je ni wewe?? Na kama ni wewe mbona ni haiendani na uhalisia wa unachoeleza hapa??@Insiderman
Tufanye mwakani😂Ya mwaka huu au mwakani?
Mjomba huwa anakuja kutuchungulia na kuangalia maendeleo yetu.Mnaendelaje ndugu zangu? Nawasalimia.
Wakati nafanya kazi na taasisi X niliingia kwenye mahusiano na uyo binti na ndo chanzo cha ugomvi wetu mimi na mama J. Ukisoma Episode za mwanzoni utaona wakati naanza Uber mama J alikuwa home, sababu kubwa alikuwa huyu demu, sijataka kuweka personal life yangu yote mtandani. Ukirudi kwenye hio thread utaona nilielezea vzr kabisa.INSIDER MAN, nimeona ulipost hii 2021, je ni wewe?? Na kama ni wewe mbona ni haiendani na uhalisia wa unachoeleza hapa??@Insiderman
I[emoji1][emoji1]fix man