Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN
Samahani boss
Naomba unitag kwenye ile episode ya irin kwenda South masomoni.
 
Asante sana
 
Mungu akubariki kwa kweli, you are a good story teller. Ingekuwa mamtoni, ungetengeneza movie ambayo ungeingiza pesa ndefu. Story yako haichoshi kuifuatilia.
 
Mkuu INSIDER MAN hii simulizi ni moja ya kitu kinafanya nikiingia jf nipitie uzi huu kabla ya kufatilia vingine, hongera sna mkali
sema awe anatoa pakage ya kutosha anakaa sana bana mpaka utamu unakata tunassau tena kama vp awe anatoa epsode mbili kwa pamoja kisha wki mbili tena kulko kukaa muda mrefu kama tunasbr gunia la pesa au tunasbr nchi ya ahad babu
zngatia hayo
 
Kwakweli insider tunakushukuru Kwa kuendelea kutushushia episodes,lakini Kasi Yako ya kushusha imekuwa ndogo sana. Mwanzo ulikuwa unatuma episodes mbili Kila baada ya wiki Moja lakini Kwa sasa Hilo jambo halipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…