Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nimeipata Mama Edina Cheology @Iiry
 
Stori inakosa ladha inachukua mda mrefu mnooo
Ndio mwenye story yake anaamua lini apost na lini asipost. Sisi tutasubiri tu maana ndio tushakuwa addicts wa hii story
Kama ilianza 2023 basi yaweza fika 2030 😂.
Tuombe uhai tuwepo
Mimi nimeiona hii story last week nikawa naisoma nikiwa kwenye semina hata sisikilizii Hadi nimeimaliza.
Unaona ni namna gani inavyolevya
 
halaaf we dada chawa kwel.yan unatia uluma.au.unataka.uwe.kama lucy ndo mana unakua chawa
 
Ahahahaha kwan jina si Kuruta au??
By the way sijawah kuyapenda mambo ya kuoigana makofi watu wazima 😂
Kiongozi inaonekana umenipa code kuwa hukupitia jeshi kwasababu hayo ndo majina yanayotumika kwa wingi kule🙌,kama kurutu,kuruta,mdudu na nk
 
Jamaa kwakweli ameiweka vizur sana kila nikiwa naisoma nawaza huyo iryn ni mzuri kiasi gani mana dah jamaa kamsifia sana
Mimi ameniharibu ma epsod zake,zimenifanya nisiwe na tamaa ya wanawake,labda nipate mrembo na awe na ukwasi,tofaut hapo wacha na mimi nibaki tu kwa mama Triple G&G wangu.
 
sema awe anatoa pakage ya kutosha anakaa sana bana mpaka utamu unakata tunassau tena kama vp awe anatoa epsode mbili kwa pamoja kisha wki mbili tena kulko kukaa muda mrefu kama tunasbr gunia la pesa au tunasbr nchi ya ahad babu
zngatia hayo
Hapo umenena chifu ila tumpe tu maua yake ila sasa anachelewa kutoa muendelezo kwa haraka bora akitoa hata mbili mbili sio mbaya aisee uyo iryn wake wakuu nashindwa kupata picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…