Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

/
 
Insider ana tabia kama za ex wangu. Huyu ex ni so addictive... Ni ngumu kumuacha kimoja..
Hata kama ametoka kucheat ukim tait anakuwa mpoleee anakupeti nankukujaza na kukataa kata kata had unaamini hajafanya..
Wanawake washataka kupigana visu sababu yake.
Mbingu ya wanaume kama hawa iko mbali.
 
wanaume tumeumbwa ''mateso'' hivyo hiyo mbingu itafikiwa bila kujali umbali.
 
cacutee, huyo sasa ndo mwamba mwenyewe. Hadi inabidi tu upashe kiporo maana HAIWZEKANI.
 
Yeah kinapashwa kwakweli. Nimemwambia siwezi kabisa kujizuia.
Uuh lips zake ukizibusu unakula mate Yan Kama unanyonya pipi
Huhh that ex is sweet oh
Jamani cacutee, yaani ukiisikia sauti yake kwa foni wee umelowaaaa🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…