Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Ahaaaa watu tunasubiri episode mpaka Sasa hatujalala, ndo unakuja na hizo swaga....daa ujuwe weekend hii kaka..unatupa majaribu kinoma.
 
INSIDER MAN hii story ikiisha tunaomba uje na edition nyingine ya namna hii story ilivyokupa ma manzi wa Jf πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Hil Iko too technically zaidi kaka maana hii msisitizo wa nitaonana nao naona imekaa kimkakati zaidi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ shusha hata episode 3 za chap kaka , weekend tusikae kinyonge
 
Ningekubali kwenda
Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Ulisema wiki ijayo itakuwa bandika bandua na iwe ivo mkuu utakuwa umesuuza nyoyo zetu
Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…