kondoomwema
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 240
- 159
Memo wa muuza madafuKwaiyo insider ni Mzee wa kugawa wastani kwa idadi....nimeipenda iyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Memo wa muuza madafuKwaiyo insider ni Mzee wa kugawa wastani kwa idadi....nimeipenda iyo
Ahaaaa watu tunasubiri episode mpaka Sasa hatujalala, ndo unakuja na hizo swaga....daa ujuwe weekend hii kaka..unatupa majaribu kinoma.Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
😂😂😂😂INSIDER MAN hii story ikiisha tunaomba uje na edition nyingine ya namna hii story ilivyokupa ma manzi wa Jf 😃😃😃
Naomba ni we mmojawapo😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Hil Iko too technically zaidi kaka maana hii msisitizo wa nitaonana nao naona imekaa kimkakati zaidi 😃😃 shusha hata episode 3 za chap kaka , weekend tusikae kinyonge😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
KARIBU MWANZA mkuu😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Ambao hatuko dar inamaana tumeungua hatutakula/kunywa nawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Ulisema wiki ijayo itakuwa bandika bandua na iwe ivo mkuu utakuwa umesuuza nyoyo zetuKesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia
Mmeshaambiwa mtabakwa na kutapeliwa haujakoma tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂Naomba ni we mmojawapo
Waje tubakwe wote au tutapeliwe woteMmeshaambiwa mtabakwa na kutapeliwa haujakoma tuu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mimi nisikosee mkuu🤣🤣😂😂😂😂
Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
Umepiga kwenye mshono 🤣🤣🤣Acheni shobo, mtakuja kutapeliwa na kubakwa kisa hizi story za uongo humu JF.
Njoo nikutapeli mkuu sanaWaje tubakwe wote au tutapeliwe wote