apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damuArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Hili sharti gumu sana mzee babaArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Hii haiwezekani mzeeArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
😀 😀 😀 unafahamu fika arsenal hawezi kutwaa ubingwa we fanya hisani tu mzee tumuone ireneArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Mpaka sasa credit anazo mbona we fatilia tu kuna wale wanafatilia kimya kimya na kuna sisi ambao tumejiweka wazi tu kufatilia na comment juu mi jamaa nimemkubali ana hadithia vizur wala sioni haja ya picha tusije kutoka nje ya reli bure uoneshwe picha ya iryn au ya hiyo audi upanic bure,, bora twende hivi hivi mkuuh
apo ni kweli kjana wa mungu mana s unajua kuna wengne makenge hawaamini mpaka watoke damu
ila uwe unatupia na pcha yan kama ulkua fild yani ili upate credit za kutosha mana iman imetoweka sana uzi wa uhakika watu makenge yan haiamn
Bado tuna imani na ArsenalArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Mna-deserve kwa kweli.Bado tuna imani na Arsenal
Kuja nise na dodomaAcha kudandia train kwa mbele utagongwa!
Tuambizane na muda mkuu ili tutazame kwa timing!... All in all aaaaasante Kwa kutenga muda wako na kutufurahisha sie waja chocholeArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Bro labda Mungu awe alitaka. La sivyo Tottenham wametuangusha japo Mimi hata sio Arsenal. Mbio zimeshaisha aisee. Pep ni bingwa mwananguArsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
Kiongozi leo J5 kakaBora hata wewe uliye shukuru, tukutane J5.
Kwani imeisha ndugu. Piga hata push ups,tembea kidogo,ama soma kitabu Fulani ,control your mind. Cheza na mwanao,mkeo,ongea na mama mzazi umwambie unampenda like muethiopia na baba mpe neno la kiume. Mwambie baba ulipambana mno mpaka nikawa mkubwa.Kiongozi leo J5 kaka
INSIDER MAN lazima atafanya Jambo. Hanaga ubabaifu kipenzi cha warembo
Kabisa let's wait thenINSIDER MAN lazima atafanya Jambo. Hanaga ubabaifu kipenzi cha warembo
Ushauri murua kabisa, shukran sana Chief!Kwani imeisha ndugu. Piga hata push ups,tembea kidogo,ama soma kitabu Fulani ,control your mind. Cheza na mwanao,mkeo,ongea na mama mzazi umwambie unampenda like muethiopia na baba mpe neno la kiume. Mwambie baba ulipambana mno mpaka nikawa mkubwa.
Do something don't let your emotions control you.
hahaaa emotions are scumKwani imeisha ndugu. Piga hata push ups,tembea kidogo,ama soma kitabu Fulani ,control your mind. Cheza na mwanao,mkeo,ongea na mama mzazi umwambie unampenda like muethiopia na baba mpe neno la kiume. Mwambie baba ulipambana mno mpaka nikawa mkubwa.
Do something don't let your emotions control you.