Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Thank u mwamba.

Nikisomaga hii story huwa inanitengeneza kujiamini sana. Naona chochote kinawezekana.

Ila kiukweli mkali ulikula maisha ya kuokota tu. Ni wachache wenye bahati kama hiyo. Mara nyingi wenye bahati kama hizo ni wale never mind. Yaani unakuwa hutaki upande huo. Unataka upande wako tu. Lakini upande huo unakuvuta tu kwa nguvu isiyo ya kawaida. Ni ile MUNGU amepanga hiyo njia kwa wote. Ndio maana nimesema ni nadra kutokea hivyo. Hiyo ni kama imeandaliwa iwe hivyo. Si kwako wala Iryn. Imepangwa iwe hivyo.

Maana yangu ni kwamba hili Jambo lingekuwa kwa kijana mwingine yoyote au hata mimi, tayari angeshavuruga. Either iwe kwa tamaa ya haraka ya mali au tamaa ya haraka ya ngono. Vijana wengi wa Kitanzania hawana uvumilivu na kujiamini kivyako kama huo wako.

Hongera. Oa tu Iryn pia
 
Hizi ni friction stories tu usijishushe heshima na utu wako kihivyo. Lengo la kusema ulienda kukojoa ni nini? Weka picha basi tuone unavyokojoa. Patheti

hakika,unajua kuna ramani Mungu ameishachora,haiwezi vurugwa,sasa kutokana na kutokuwa na mahusiano mazuri na Mungu huwa tunachora ramani zetu wenyewe,...Mungu fundi sana aisee,lake lazima litimie.Ningekuwa kwenye nafasi ya huyu mwamba nisingeweza muacha Iryn,japo mama J pia ni ngumu kumuacha
 
nazani bongo pia tunafaaa emb thamn chako babu
 
Kabisa
 
Hatimaye imekuwa. cacutee, Joanna na Funzadume MostAdmired; mkuje kuona jambo jipya hukuuuuu.
 
cacutee come this way🤒
 
Kumbe inaendelea hamsemi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…