Ooh thanksIryn anabadilika kutokana na mazingira, na sio aina ya mwanamke wa kujionesha, hanaga dharau na yuko poa na kila mtu. Katika maongezi yetu tukiwa mimi na yeye ngeli itatumika 60% hata Kiswahili anaongea vizuri kabisa.
Ana zungumza lugha 7;
-Oromo
- English
- French
- Spanish
- Kiswahili
-Kizulu
-Afrikaans
Hili ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Tunageuka kuwa mama kwa mwanaume badala ya kuwa partner au msaidiziUsimbane sana mwanaume
Thats very wise of you. Una kitu utafika mbali.Hili ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Tunageuka kuwa mama kwa mwanaume badala ya kuwa partner au msaidizi
Nimeamua kufanya uturn... Nilikuwa na tabia hizo pia Hadi pale nilipogundua ninapokosea na kutubu kwa my partner. Na tangu nifanye hayo maamuzi nimekuwa na Amani na yeye pia amekuwa na Amani. Kwa ufupi huba letu limeongezekaThats very wise of you. Una kitu utafika mbali.
😂aaah dadeqNikisomaga hizi story za jamaa nikitoka mtaani nakuwa najiamini unakuta natongoza wanawake kama sita hivi naambulia kuambiwa kijana jiheshimu na ujitathimini,Dunia haiko fair, Jamaa Kila Demu anamuelewa halafu Kuna kina sisi kuomba Qhumer tunapewa ushauri na maonyo ya kuenenda katika njia ipasayo, malamamamaee
You have nailed it all brother! but try to change your approach for you to get the trophy.Nikisomaga hizi story za jamaa nikitoka mtaani nakuwa najiamini unakuta natongoza wanawake kama sita hivi naambulia kuambiwa kijana jiheshimu na ujitathimini,Dunia haiko fair, Jamaa Kila Demu anamuelewa halafu Kuna kina sisi kuomba Qhumer tunapewa ushauri na maonyo ya kuenenda katika njia ipasayo, malamamamaee
Mapenzi na umaskini haviendani, angalia mazingira ya kina Iryn, Asmah, Jane, Prisca etc. Sasa we unaenda kwa madem hata uhakika wa kula yake shida.Nikisomaga hizi story za jamaa nikitoka mtaani nakuwa najiamini unakuta natongoza wanawake kama sita hivi naambulia kuambiwa kijana jiheshimu na ujitathimini,Dunia haiko fair, Jamaa Kila Demu anamuelewa halafu Kuna kina sisi kuomba Qhumer tunapewa ushauri na maonyo ya kuenenda katika njia ipasayo, malamamamaee
Ona Mama J alivyozungukwa huku asmaa, Irene, Mary, prisca, na wengineHili ndo wanawake wengi huwa tunakosea. Tunageuka kuwa mama kwa mwanaume badala ya kuwa partner au msaidizi
Kumbe Eee, hongera!Nimeamua kufanya uturn... Nilikuwa na tabia hizo pia Hadi pale nilipogundua ninapokosea na kutubu kwa my partner. Na tangu nifanye hayo maamuzi nimekuwa na Amani na yeye pia amekuwa na Amani. Kwa ufupi huba letu limeongezeka
SanteKumbe Eee, hongera!
Naona nyoya la chombo ya fundiDaraja la Salander ndo kivutio pekee cha Dar es Salaam. Nakumbuka nikiwa na endesha Uber foreigners walikuwa wanaliongelea sana hili daraja, kama video walikuwa wanachukua za kutosha.
Ukitoka Coco mpaka Kivukoni utasema sio Tanzania hii barabara ilijengwa kwa viwango, na mazingira yake ni tulivu na masafi. View attachment 3002638
Ila ndo uhalisia wa mahusiano au ndoa nyingi. Ndo maana wengine wamefikia hatua wanadai Bora kutokuoneshwa live live na kudharauliwa wazi wazi. Ila inasikitisha sanaOna Mama J alivyozungukwa huku asmaa, Irene, Mary, prisca, na wengine
Huwezi Elewa kichwa kimejaa madeni na kazi wenyewe za halmashauri kutwa kuiabishwa na kugombezwa hovyo na kina BASHITEMkuu huduma za English course, British council zipoje na ada ni shillingi ngp.
Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Hapo kwenye wife ndio hajaweka waziOoh thanks
Ila wife hajui eeh
Daraja la Salander ndo kivutio pekee cha Dar es Salaam. Nakumbuka nikiwa na endesha Uber foreigners walikuwa wanaliongelea sana hili daraja, kama video walikuwa wanachukua za kutosha.
Ukitoka Coco mpaka Kivukoni utasema sio Tanzania hii barabara ilijengwa kwa viwango, na mazingira yake ni tulivu na masafi. View attachment 3002638
Jane sio rahisi. Kama atapata mtoto tena ni kwa mama J na Iryn. Kwa Asmah pia haiwezekani hata kidogoINSIDER MAN nipo nasubiri Episode unayomla Jane.
Ulisema unakaribia kupata mtoto wa tatu, Possibility yangu naweka kwa Asmah.
Jane sio rahisi. Kama atapata mtoto tena ni kwa mama J na Iryn. Kwa Asmah pia haiwezekani hata kidogo
Jamaa ana nyota kali sana.Insider Kuna demu Moja mwenye asili ya kinyaru mkali Sana kinoma, nilimpa iyo link ya story Yako, duuu kapagawa kinoma noma mpaka anataka aje Dar akutafute.... yeye yupo mkoa .
Msubirie uko DM anakuja....
Mh jaman hii folen sjui had wapiJamaa ana nyota kali sana.