Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

1. Kizoka utampa gari episode ya 15
2. Utaongozana kwenda Zanzibar na Asmah.
 
1. Kisoka gari unampa ep 17
2. Utaongozana na Mary Zanzibar
 
1. Ep 16 ndio utampatia kizoka
2. Znz utaenda pekeyako
 
Hii wiki nitakuwa na thanks giving. Kwa wale mnaotumia Vodacom, Tigo na Airtel nitakuwa napost vocha. Mwenye bahati atabahatika.

Pia nitatoa zawadi ya 50k kwa atakae tabili vizuri next episode.
ikitokea zaidi ya mtu mmoja wametoa majibu sahihi
je,wote watapewa hiyo zawadi
 
Mzigo ulioufuata Zanzibar uliongozana na Marry,0677290106

Kizoka utampa gari episode ya 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…