Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu, ionekanavyo...yuajua Sana kuhusu drama!...

 
Zanzibar utaongozana na ghati

Alafu insider mashabiki zako tunataman kukufaham, at least weka challenge atakae shinda atapata bahati ya kukuona.
 
Utaongozana na Asmah kwenda Zanzibar
 
This is a piece of advice,

always try to keep your promises,

it seems stupid when someone doesn't keep their promises,

you promised to post the sequel but so far you haven't posted anything.
jamaa ana kaushamba kakutaka kubembelezwa,
ni aina ya watu wenye inferiority complex, hii attention anayopata humu ndio inafunika ule udhaifu wake!

btw hii kwa 80% ni story ya kutungwa, vichache ni vya kweli hasa kama ulisoma ile series ya 1......

asamehewe tu, wala usimchukulie negative...... ni sehemu ya udhaifu tulionao binadamu, muhimu ni kusoma hii fiction yake na kuendelea na mambo yako!
 
Mjinga mjinga
 
Usimuhukumu mtu pasipo kujua amekumbwa na nini, huwezi jua yupo katika hali gani muda huu, unaweza ukawa unalaumu kumbe mwenzako yupo ICU.
Kumbuka binadamu tunapanga ila Mungu ndio mpangaji mkuu, omba mipango yako iandane na mipango ya Mungu
 
Usimuhukumu mtu pasipo kujua amekumbwa na nini, huwezi jua yupo katika hali gani muda huu, unaweza ukawa unalaumu kumbe mwenzako yupo ICU.
Kumbuka binadamu tunapanga ila Mungu ndio mpangaji mkuu, omba mipango yako iandane na mipango ya Mungu
Watu wanatawaliwa na hisia zao. Wao wanataka kuburudishwa kwa muda wao wanaotaka. Huna kazi za kufanya?? Unamlipa Bei gani, wewe ni born town,yeye ana ushamba Mana wengi tumetokea mashambani hata USA ilikuwa ni mashambani Ila Leo hii ni mjini.

Hisia zako za kutaka kuburudika kwa wakati wako ndizi zinakufanya umfanye awe na hasira ili alete ,Sasa anaweza asilete, Ila ma jobless ni wengi mno ,yaani mtu huna kazi za kufanya ama ku keep busy. Hii hadithi Haina faida yoyote kwako achana nayo afanye Mambo mengine.
 
Ishu sio kazi ya kufanya..! Jamaa alishaweka utaratibu wa kila jumapili, tena akaja akatoa ahadi ataanza kupeleka episode haraka mpaka akaanza kuweka na jumatano…

Ukiweka ahadi kwenye hadhira kama hii ambao kuna watu wengi wanafatilia inatakiwa utimize otherwise kama interaction ya ratiba basi unatoa taarifa ili wafuatiliaji waache kufikiria tu hapa..!

Ona sasa ameacha kuweka episode Jumatano ambako alianza utaratibu wa kuweka kama alivyoahidi ghafla ame Mute badala yake anaanza kucheza na watu mara awaambie wafanye prediction eti atawapa ela.. sasa ndo nini ivyo😆..?

Mtu unapotoa ahadi itimize au kama umeshindwa toa excuse mapema ili wafatiliaji wapunguze maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…