babukatunz
Member
- Jan 11, 2016
- 38
- 45
Irene ana hila sana ndo atakuja zanzibar,wala siyo mzigo kama mzigoUnaenda na iryn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Irene ana hila sana ndo atakuja zanzibar,wala siyo mzigo kama mzigoUnaenda na iryn
Kuna nyimbo inaitwa Zali La mentali ya Prof. J.
Prof J alikuwa anasukuma mkokoteni, akajikuta mkononi mwa demu mmoja wa kitajiri. Pisi matata
Ila mwandisi insider alikuwa anaendesha USER, akajikuta mikononi wa pisi matata yatajiri. Imebadilisha maisha yake, maono yake....story nzuri sana
Story ina udambwi udambwi mwingi
1. Romance
2. Billionaire
3. Betrayal
4. Crime
5. Fantasy
6. Mystery
7. Humor
8. Erotica
Hii story ukiitia kwenye television drama inakuwa bonge la story.
Ushauri wangu soma utaifurahia
Nasoma vitabu, stories, novels...Mkuu, ionekanavyo...yuajua Sana kuhusu drama!...
Ofcourse yan,natamani sana kukutana na jamaa🤣Kwasababu wewe wa mbezi nini😂🙌
Zanzibar utaongozana na ghatiNdugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Wewe ni mwanamke eee?Zanzibar utaongozana na ghati
Alafu insider mashabiki zako tunataman kukufaham, at least weka challenge atakae shinda atapata bahati ya kukuona.
Nasoma vitabu, stories, novels...
Naongeza maarifa na kuboresha lugha
Muhimu Sana hii, kwa afya ya ubongo....Nasoma vitabu, stories, novels...
Naongeza maarifa na kuboresha lugha
Utaongozana na Asmah kwenda ZanzibarNdugu zangu naongeza 50k nyingine.
1. Kizoka nitampa gari Episode ya ngapi? (25k)
2. Nitakwenda Zanzibar kufuatilia mzigo uliotumwa na Iryn. Nitaongozana na nani? (25k).
Kazi kwenu, niko honestly kwa atakae patia atapata cash yake.
NB: Wa kwanza kupatia ndo atakuwa mshindi.
Maybe he is in trouble!This is a piece of advice,
always try to keep your promises,
it seems stupid when someone doesn't keep their promises,
you promised to post the sequel but so far you haven't posted anything.
TusubirieMaybe he is in trouble!
Three women one husband! Lazima ilete troubleMaybe he is in trouble!
Ushauri ni usome story utaifurahiakwaio ushaur wako n upi hapo
bado hatujaipata point yako ya msng
jamaa ana kaushamba kakutaka kubembelezwa,This is a piece of advice,
always try to keep your promises,
it seems stupid when someone doesn't keep their promises,
you promised to post the sequel but so far you haven't posted anything.
Mjinga mjingajamaa ana kaushamba kakutaka kubembelezwa,
ni aina ya watu wenye inferiority complex, hii attention anayopata humu ndio inafunika ule udhaifu wake!
btw hii kwa 80% ni story ya kutungwa, vichache ni vya kweli hasa kama ulisoma ile series ya 1......
asamehewe tu, wala usimchukulie negative...... ni sehemu ya udhaifu tulionao binadamu, muhimu ni kusoma hii fiction yake na kuendelea na mambo yako!
Usimuhukumu mtu pasipo kujua amekumbwa na nini, huwezi jua yupo katika hali gani muda huu, unaweza ukawa unalaumu kumbe mwenzako yupo ICU.jamaa ana kaushamba kakutaka kubembelezwa,
ni aina ya watu wenye inferiority complex, hii attention anayopata humu ndio inafunika ule udhaifu wake!
btw hii kwa 80% ni story ya kutungwa, vichache ni vya kweli hasa kama ulisoma ile series ya 1......
asamehewe tu, wala usimchukulie negative...... ni sehemu ya udhaifu tulionao binadamu, muhimu ni kusoma hii fiction yake na kuendelea na mambo yako!
Watu wanatawaliwa na hisia zao. Wao wanataka kuburudishwa kwa muda wao wanaotaka. Huna kazi za kufanya?? Unamlipa Bei gani, wewe ni born town,yeye ana ushamba Mana wengi tumetokea mashambani hata USA ilikuwa ni mashambani Ila Leo hii ni mjini.Usimuhukumu mtu pasipo kujua amekumbwa na nini, huwezi jua yupo katika hali gani muda huu, unaweza ukawa unalaumu kumbe mwenzako yupo ICU.
Kumbuka binadamu tunapanga ila Mungu ndio mpangaji mkuu, omba mipango yako iandane na mipango ya Mungu
Ishu sio kazi ya kufanya..! Jamaa alishaweka utaratibu wa kila jumapili, tena akaja akatoa ahadi ataanza kupeleka episode haraka mpaka akaanza kuweka na jumatano…Watu wanatawaliwa na hisia zao. Wao wanataka kuburudishwa kwa muda wao wanaotaka. Huna kazi za kufanya?? Unamlipa Bei gani, wewe ni born town,yeye ana ushamba Mana wengi tumetokea mashambani hata USA ilikuwa ni mashambani Ila Leo hii ni mjini.
Hisia zako za kutaka kuburudika kwa wakati wako ndizi zinakufanya umfanye awe na hasira ili alete ,Sasa anaweza asilete, Ila ma jobless ni wengi mno ,yaani mtu huna kazi za kufanya ama ku keep busy. Hii hadithi Haina faida yoyote kwako achana nayo afanye Mambo mengine.