Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Wakwanza kupatiaikitokea zaidi ya mtu mmoja wametoa majibu sahihi
je,wote watapewa hiyo zawadi
Hongera mkuu. Mimi nilisema asmaa nikakwamishwa na wambea CIA wa IrynNakupm naona umefunga pm
Nitakuwekea kesho mkuu.0765623795
People preffers good things to Right things.Yaani huwa nashindwa why nature ilitupa ubongo unaopenda mambo yasiyo na manufaa ama faida kwetu Ila Mambo yenye mafanikio hatuyapendi
ππ½ Mama Edina kumbe na wewe FBI πHongera mkuu. Mimi nilisema asmaa nikakwamishwa na wambea CIA wa Iryn
Jina lako kumbe linaendana na good lol
Pamoja mkuuNitakuwekea kesho mkuu.
mbona unatufokea tena jamanNi ajabu sana kuona mwanaume analia lia anaomba aandikiwe story. Kweli kuna watu hawana kazi ya kufanya
Nimegundua wale wanaoponda hii story ndio wanaosumbua ziaidi. Hili ni tatizo la akili, unaona story ya kutunga huikubali na hutaki kuendelea na hamsini zako. TATIZO
Duniani kuna novels, story za kutosha maisha mengine yanaendelea
Nashauri huu uzi ufungwe Leo na story istishwe watu wafanye kazi waache kufatilia umbea. Sehemu ya story iliyobaki ni umbea wa maisha ya watu. Kufuatilia nani aloenda ZNB na kupewa gari ni umbea umbea. Story imeisha.
Natania tu dearestmbona unatufokea tena jaman
twende tufukuze mwizi kimya kimyaNatania tu dearest
tuliza komwe hapoMimi INSIDER MAN alete story kwa wakati asilete kwangu sawa sababu najua yeye ni binadamu ana majukumu yake,ana mitihani yake,ana maisha yake akipata wasaa atakuja kuendelea alipoishia napita nikiona hakuna muendelezo nasoma nyuzi zingine.
Mkuu.... Sijaona Season 9Kaka sijawahi tumia Samsung katika history ya maisha yangu. Kama unataka kuniona uwe unatega NBAA mostly nakwenda pale kujisomea.