Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Yaani huwa nashindwa why nature ilitupa ubongo unaopenda mambo yasiyo na manufaa ama faida kwetu Ila Mambo yenye mafanikio hatuyapendi
People preffers good things to Right things.
The enemy of Right is not "bad". It is easy to recognnize the "bad"
The real enemy of "Right" is "Good". It is very difficult to deny the "Good" in order to do the "Right"
 
Ni ajabu sana kuona mwanaume analia lia anaomba aandikiwe story. Kweli kuna watu hawana kazi ya kufanya

Nimegundua wale wanaoponda hii story ndio wanaosumbua ziaidi. Hili ni tatizo la akili, unaona story ya kutunga huikubali na hutaki kuendelea na hamsini zako. TATIZO

Duniani kuna novels, story za kutosha maisha mengine yanaendelea

Nashauri huu uzi ufungwe Leo na story istishwe watu wafanye kazi waache kufatilia umbea. Sehemu ya story iliyobaki ni umbea wa maisha ya watu. Kufuatilia nani aloenda ZNB na kupewa gari ni umbea umbea. Story imeisha.
mbona unatufokea tena jaman
 
Story ni nzuri, ngoja kukuche nikatongoze wanawake kama saba hivi nikataliwe, Mahondaw na Smart wataachana kabla ya August, marigiiipu, maripuuuuuu
 
Mimi INSIDER MAN alete story kwa wakati asilete kwangu sawa sababu najua yeye ni binadamu ana majukumu yake,ana mitihani yake,ana maisha yake akipata wasaa atakuja kuendelea alipoishia napita nikiona hakuna muendelezo nasoma nyuzi zingine.
tuliza komwe hapo
 
Back
Top Bottom