Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

:β€œSmith ana kama umri wa miaka 5, dhahiri mama Janeth alikuwa anamzunguka mama yako akiwa bado hai. Na kwanini afanye hivi kwa mama yako ambao walikuwa ni marafiki?”


Khakhakhaaaa sijui kwanini Nimecheka.

Naendelea nilipoishia

πŸ™‡πŸ™‡

Cc Smart911
 
"Baada ya kuisikiliza voice hapa ndo nilikuwa na uhakika wa 100% kuwa Claire ni snitch kwangu na niliona kama ana wivu wala sio kingine. Kwa upande mwingine nilijilaumu sana kuwahi kurudi maana maongezi yao yaliishia pazuri sana na Claire alikuwa ametema sumu kali "


🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀭

Leo ndio nimejua hili walaiii kumbe Wivu sio poaaaaaaπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Cc Smart911
 
Claire alikuwa na wivu kwa iryn kuwa na insider or unamaanishaje
 
"Muajemi alikuwa anatangaza offa zake kwa Iryn, na moja ya text iliyonishtua baada ya kuisoma ni kwamba anataka amzalie mtoto, afu atamjengea nyumba anayoitaka, atamnunulia gari analotaka na kumfungulia biashara anayoitaka"


Muajemi alidhani Iryn anaendekeza njaa bwahahahahahahahahah

Hii story unanifurahisha na inanichekeshajeeeee🀣🀣🀣🀣🀭🀭🀭

Naendelea nilipoishia

πŸ™‡πŸ™‡




Cc Smart911
 
β€œDarling wewe ni mzembe sana, ile siku niliyokuomba simu yako tukiwa airport nilifuta picha zote ulizokuwa umepiga pamoja na ile video uliyonichukua na Jimmy tukicheza. Nilijua mama J lazima atakuchunguza, jenga tabia ya kubadili mara kwa mara passcode za simu, unajiachia mno baby.”



Once a cheater always a cheater Iryn ako na mbunu zote πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Cc Smart911
 
Wee jamaa unajifanya nunda kumbe nawe ulimuonea Wivu muajemi kuwa anaeza kupiku haha!

Nimeishia Season 2 chapter 11!

Nitaendelea next time πŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈπŸšΆπŸ»β€β™€οΈ

Cc Smart911
 
Mbona ghafla za end.
 
Duuh hii story nilikua naiona tangu mwaka jana naipita. Sasa kila mara ina appear kwenye timeline. Tangu nmeifungua juzi sijafungua uzi wowote wa JF mpaka nimefikia alipoishia season 1 and 2...

Jamaa anajua kuhadithia.
Ingawa mwana hana marafiki wa kiume yeye ni pisi tu na ana ratiba busy sana. Najua kuna mambo mengi karuka ila kwa ufupi jamaa ni busy kwa namna yoyote.
 
Hopefully mama J kaingiza Muamala
ila kijana embu tunaomba sana utuwezeshe seem znazofata mana sku ulzokua haujatuma ilbd utume mbili sasa umetuma moja kwaio emb tusaidie uongeze 2 tena kwa wiki hiii ili tuwe na mzgo wa kutosha kabla ya j3 tunaomba utuwezeshe kwa mtindo huo sisi mafans wako
HAYO NI MAWAZO TU KUTOKA KWANGU
UGWANZEEE🌹🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…