Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nami ndo kilichonikuta
 
Oyiii INSIDER MAN embu siku ofisini kwenu watwange offer waagizie Biryani haswa mtoto Asmah Wallah Kwa utamu wa biryani yangu hachomoi atakupa yoteeee Kabul Pulao,pilao la kipakistan nalo ni nowmaaaaa.

Halafu Mama J unamleta nimshoneee nguo za kanisani 😁
 
Embu siku agiza ujilambe 😋😛 ukimuagizia na G atakuzalia mapacha 🤣 INSIDER MAN
 

Attachments

  • FB_IMG_1717492576528.jpg
    146.5 KB · Views: 22
  • FB_IMG_1717492859533.jpg
    72.7 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1717492869150.jpg
    147.7 KB · Views: 26
  • FB_IMG_1717608513931.jpg
    143.1 KB · Views: 22
  • FB_IMG_1717610299844.jpg
    293.2 KB · Views: 22
  • IMG-20240605-WA0028.jpg
    156.2 KB · Views: 20
🤣hukai mbali na fursa
Eeeh naona INSIDER MAN anapenda kula kula vizuri 😂 siku ya Ijumaa anipa order tu kuna saloon mikocheni Kwa Nyerere huwapelekea na bolt niliongea nae kila ijumaa ana nisambazia order zangu za biryani sitaki pesa ya kubashiri what is next on episode mie aniunge tu mkono biashara yangu .

Yaani siku najilipua humu najipost kutangaza biashara zangu 😂🤣 shida kusumbuliwa maana ni lishangazi elewa neno shangazi sio shangazi kaja.
 
Ni lishangazi lenye rangi yake eenh?? Em siku ukijipost unitag na mimi,hakika ntaagizia jipilau Kabul ofisi nzima mpaka mlinzi😀😀
 
Bado washindi wa Kizoka (25k).

Atakaye tabiri vzr kilicho endelea na Asmah kwa Chapter 15 atapata 50k.

Chapter 1-14 ilikuwa ni kupoteza muda. Chapter 15 story ndo inaanza na matukio yangu yataishia June 2023.

-Asmah alibadilika ghafla na akakomaa na msimamo wake kwa kutokukupa nafasi uwe nae na akazidisha kumuogopa Irene

-Kizoka hakufanikiwa kupewa gari kuna mambo yaliingiliana yaliyopelekea mpango wa kumpa Kizoka gari ya mkataba ukahairishwa
 
boss insider ofisini hamujitaji mtu wa delivery? Nipe kazi boss
Shida ni kuwa karibu na mazingira nayofanyia kazi naona itakuwa shida. Kama niliwapa namba yangi watu na wakaanza kuni expose what do you think?.

Vitu vingi tutaongea nikimaliza Season, kwa mtu mwenye degree ya Finance/Accounting/BA kidogo na Tax, Una CPA afu huna mchongo ni DM.

Private CPA ina matter sana
 
mkuu insider mimi naomba hata email yako, kwwli mkuu kama unashida na mtu wa delivery unisaidie kaz mkuu wangu.

Kiukweli hizo elimu sina. Ila nina uwezo wa kuchapa kazi. Shukrani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…