Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ahadi yangu iko pale pale Insider kasema ata niungisha Biryani akiweka tu order shangazi Aunt Najipost 😂😁🤣 shangazi MashaAllah shangazi kanyooka shangazi mwenye T zake 🤣 tatizo Django doer atanisumbua na vurugu zake inbox.
Kuna mtu anataka kuonana na dada yetu? Natoa offa ya biryani kwa ambae yuko karibu na dada yetu. Sahani 10 zinatosha sana.
 
Kuna mtu anataka kuonana na dada yetu? Natoa offa ya biryani kwa ambae yuko karibu na dada yetu. Sahani 10 zinatosha sana.
Gily Gru piga makofi Kwa INSIDER MAN ake Django doer asiwepo kwenye offer sio Kwa kunisumbua inbox akiniona ndo usumbufu utakithiri 🤣😂 shangazi sio shangazi kaja order nyingi nazipeleka personal madukani ofisini zingine bajaja na bolt wana supply nikisha tia kwenye package
 
Ahadi yangu iko pale pale Insider kasema ata niungisha Biryani akiweka tu order shangazi Aunt Najipost 😂😁🤣 shangazi MashaAllah shangazi kanyooka shangazi mwenye T zake 🤣 tatizo Django doer atanisumbua na vurugu zake inbox.
Yaani ww nikijua huo mgahawa wako kila siku ntaweka kambi hapo nataka pilau lako la kabul 💕😋😋😋.

We sikuachi mpaka tupeane joto 😊
 
Mi order yangu utaniletea chumbani kipenzi 💋
 
INSIDER MAN , ngoja nikutoe ushamba.
Simu anayotumia Asmah alipewa na Iryn. Hiyo simu itakuwa inatumia Apple acc. ya Iryn. Kwa hiyo messages zote zinazoingia na kutoka lazima Iryn azione kwenye iMessage yake pia.
Chakufanya ni kubadili Apple Acc, kitu ambacho ni kigumu kwa sababu Iryn atajua kwa kuwa ndiye mwenye account
 
Insider ameendekeza sana wanawake, na amemsahau mke wake kwa 85%. Kitendo cha kutoka Ethiopia na kwenda tena kwa Ghati ni wazi hujali tena uwepo wa mke wako. Na sio lazima kila mwanamke umfunue..dah, kama wanaume wote wapo hivi ni balaa..na mbaya zaidi hawazi magonjwa wala mimba.
 
Ubaya au uzuri ni kuwa tunajifunza kutokana na makosa

Aliyofanya insider tunafanya wanaume wengi sana

Kutoka na asmah ilikuwa terrible mistake bora hata angemla hilda than asmah sababu uhakika ni kuwa boss macho yake yako kwa asmah tu
 
Kwahio washindi waliotabiri episode 15 kuhusu Kizoka na Asma ni kina nani????

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…