Alez von lumor
JF-Expert Member
- Nov 4, 2023
- 516
- 1,474
Tabiri upata bahate bro hapa sio kama sandakalawe😁Tunasubiri vocha boss INSIDER MAN
Ahsante kwa kufahamu mkuu, kuna code nyingi sana humu. Na nyingi nimezifungua ila watu hawajui wala kujiongeza.INSIDER MAN hii simulizi ina mafundisho mengi sana Man sijui kama Vijana wanasoma na kutafakari? Maana ubongo wa binadamu umesafiniwa kuwaza mambo mepesi tu. Lakini wengi humu sidhani kama wanachukulia kwa uzito. Be blessed Man wewe ni Icon ya Vijana tunaojipambania ndoto zetu zitimie
Hahahaa! Samakisamaki mimi ni home. Hakuna asiyenijua mitaa ile kote Masaki na Mlimani, ndo kiwanja changu pendwa. Siku za j2 mara nyingi nakuwa Mlimani city nimetulia.Insider nashauri Samakisamaki wakulipe pesa ya marketing, umefanya wengi tuanze kwenda pale.
Raha ya Masaki kubambia tu, mlimani pana ustaarabu sana.Hahahaa! Samakisamaki mimi ni home. Hakuna asiyenijua mitaa ile kote Masaki na Mlimani, ndo kiwanja changu pendwa. Siku za j2 mara nyingi nakuwa Mlimani city nimetulia.
Manager bora anapimwa kwenye mazingira magumu kama haya. Hiki ndo kipindi cha kuinusuru kampuni, kama Manager unatakiwa ufikirie ni risk gani zitakoea pindi kampuni ikifungwaNilitokea kumheshimu sana INSIDER MAN. Nikadhani angefanya maamuz ya kiacha kaz...dadaake INSIDER MAN. Amenipa gocus mpya kabisa.....nimempendansana dada kwa maamuz ya ugumu ana maamuz....go dada go dadaaetu
Muoe vijana.Raha ya Masaki kubambia tu, mlimani pana ustaarabu sana.
Kama kampuni imefirisika? Hakuna namna inafungwa.Manager bora anapimwa kwenye mazingira magumu kama haya. Hiki ndo kipindi cha kuinusuru kampuni, kama Manager unatakiwa ufikirie ni risk gani zitakoea pindi kampuni ikifungwa
1. Watu wanapiteza ajira fikiria na wanaowategemea nyuma.
2. Bank zinapoteza mapato
3. Serikali inapoteza mapato
4. Athari kwa wateja, 90% ya foreigners tunawahudumia afu ufunge ofisi ghafla utawaathiri vipi?
Kama manager unatakiwa kuwa mfano. Wanaosoma Business Administration wanaelewa zaidi.
Mpaka kampuni inafirisika tatizo lilianzia kwenye “Internal controls”. Kama internal contols ni weak kwanini kampuni isifirike??.Kama kampuni imefirisika? Hakuna namna inafungwa.
Usiku mwema🙌🏿Mpaka kampuni inafirisika tatizo lilianzia kwenye “Internal controls”. Kama internal contols ni weak kwanini kampuni isifirike??.
Hii ndo engine ya kampuni asee mkifeli hapa lazima kampuni ifirisike, kama kampuni mnatakiwa muwe na watu wanaojua kuongoza kampuni. Sikuzote kampuni yenye strongl internal controls hata performance yake iko juu a good example CRDB Bank wale jamaa Internal control yao ni mashine.
Internal controls are mechanisms put in place to ensure the integrity of financial and accounting information, safeguard assets, and prevent fraud. They help in maintaining accuracy and reliability in financial reporting, ensuring compliance with laws and regulations. Internal controls also assist in operational efficiency by streamlining processes and mitigating risks. Regular monitoring and evaluation of these controls help in detecting and addressing weaknesses. Overall, they are crucial for protecting an organization’s resources and ensuring its smooth operation.
Kampuni haifirisiki from nowhere, tatizo linaanzia hapo. Kama wewe ni Auditor ukiajiriwa kwenye Organisation yoyte ile, jambo la kwanza waulize kuhusu Internal control yao, ukigundua inashida ifanyie maboresho. Wakigomea unaacha kazi, tunarudi kwenye zile fundamental 5 za IFAC.
👊👊👊Mpaka kampuni inafirisika tatizo lilianzia kwenye “Internal controls”. Kama internal contols ni weak kwanini kampuni isifirike??.
Hii ndo engine ya kampuni asee mkifeli hapa lazima kampuni ifirisike, kama kampuni mnatakiwa muwe na watu wanaojua kuongoza kampuni. Sikuzote kampuni yenye strongl internal controls hata performance yake iko juu a good example CRDB Bank wale jamaa Internal control yao ni mashine.
Internal controls are mechanisms put in place to ensure the integrity of financial and accounting information, safeguard assets, and prevent fraud. They help in maintaining accuracy and reliability in financial reporting, ensuring compliance with laws and regulations. Internal controls also assist in operational efficiency by streamlining processes and mitigating risks. Regular monitoring and evaluation of these controls help in detecting and addressing weaknesses. Overall, they are crucial for protecting an organization’s resources and ensuring its smooth operation.
Kampuni haifirisiki from nowhere, tatizo linaanzia hapo. Kama wewe ni Auditor ukiajiriwa kwenye Organisation yoyte ile, jambo la kwanza waulize kuhusu Internal control yao, ukigundua inashida ifanyie maboresho. Wakigomea unaacha kazi, tunarudi kwenye zile fundamental 5 za IFAC.
Niliwahi kuwa Zambia maeneo aliyoyataja nimewahi kufikahii 'story' ya zambia ni mimi peke yangu au na nyie wenzangu mmegundua ni 'kamba'?
Sawa mzeeManager bora anapimwa kwenye mazingira magumu kama haya. Hiki ndo kipindi cha kuinusuru kampuni, kama Manager unatakiwa ufikirie ni risk gani zitakoea pindi kampuni ikifungwa
1. Watu wanapiteza ajira fikiria na wanaowategemea nyuma.
2. Bank zinapoteza mapato
3. Serikali inapoteza mapato
4. Athari kwa wateja, 90% ya foreigners tunawahudumia afu ufunge ofisi ghafla utawaathiri vipi?
Kama manager unatakiwa kuwa mfano. Wanaosoma Business Administration wanaelewa zaidi.
HakikaHii simulizi ni noma sana
Umeanza darasa la NBAA humu. Hizo notice zipumzishe kwanzaMpaka kampuni inafirisika tatizo lilianzia kwenye “Internal controls”. Kama internal contols ni weak kwanini kampuni isifirike??.
Hii ndo engine ya kampuni asee mkifeli hapa lazima kampuni ifirisike, kama kampuni mnatakiwa muwe na watu wanaojua kuongoza kampuni. Sikuzote kampuni yenye strongl internal controls hata performance yake iko juu a good example CRDB Bank wale jamaa Internal control yao ni mashine.
Internal controls are mechanisms put in place to ensure the integrity of financial and accounting information, safeguard assets, and prevent fraud. They help in maintaining accuracy and reliability in financial reporting, ensuring compliance with laws and regulations. Internal controls also assist in operational efficiency by streamlining processes and mitigating risks. Regular monitoring and evaluation of these controls help in detecting and addressing weaknesses. Overall, they are crucial for protecting an organization’s resources and ensuring its smooth operation.
Kampuni haifirisiki from nowhere, tatizo linaanzia hapo. Kama wewe ni Auditor ukiajiriwa kwenye Organisation yoyte ile, jambo la kwanza waulize kuhusu Internal control yao, ukigundua inashida ifanyie maboresho. Wakigomea unaacha kazi, tunarudi kwenye zile fundamental 5 za IFAC.
Tunasubiria mkekaHapa mtakula pesa yangu tu, anyway naweka vocha ya 5k kama vocha kwa watu wa2 wa mwanzo kupatia.
Tunaishi mkuu.Ni fursa tosha kwa sie walala hoi