Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Acha porojo, company/business can go bankrupt even with strict internal control systems.
Although in myriad of cases, internal control is the main cause, but there are issues like:
1. Competition
2. Cashflow
3. Difficult market conditions etc, that had led many businesses to collapse.
I don't want to go into details on each of the above
 
Ninachokusifia una maamuzi ya haraka sana kwa kila Jambo kubwa huwazi mara mbili kujitafuta ushauri. Wewe unaweza kuamua leo leo kitu kikubwa na ukakifanya siku hiyo hiyo.

Kuanzia mwanzo wa story naona mambo makubwa hata yanayohitaji kujitafuta kwenye ushauri,lakini wewe unalichukulia easy tu na unalitekeleza faster.

Naweza kusema hilo limekusaidia sana kusonga mbele kwa kasi. Watu wengi hasa wanaume huwa tunajitafuta sana kwenye kujishauri. Mfano mdogo hiyo trip ya ghafla ya Zambia ningejishauri hata siku 1,2,then maamuzi.
Asante kwa story mwamba.
 
Thanks God result imetoka vizuri mpaka sasa nina 1st class imenyooka, still hata research ikija vibaya nina uhakika wa 1st class.

Mwakani sikosi cheti cha Best student 🙏

Kwa kusherehekea results, kesho tutaendelea na mwendelezo.
Saa ngapi? Shusha mzigo
 

Weak internal controls can significantly contribute to a company's downfall, particularly in the context of competition, cash flow, and challenging market conditions.

1. COMPETITION, In a competitive market, weak internal controls can lead to inefficiencies and higher costs, making it difficult for a company to compete on price or quality. Competitors with stronger controls can operate more efficiently, offering better products or services at lower prices, which can erode market share and revenue for a company with lax controls.

2. CASH FLOW, Poor internal controls can result in inadequate cash management, leading to liquidity issues. For instance, a lack of oversight might cause delayed invoicing or poor debt collection, straining cash flow. Without sufficient cash, the company may struggle to pay suppliers, employees, or creditors, leading to operational disruptions and financial distress.

3. DIFFICULT MARKETING CONDITIONS, In tough market conditions, robust internal controls are essential for navigating uncertainty and managing risks. Weak controls can exacerbate the impact of external pressures, such as economic downturns or supply chain disruptions, by failing to identify and mitigate risks in a timely manner. This can lead to unanticipated losses and ultimately, insolvency.

Ultimately, while external factors like competition, cash flow, and market conditions are significant, weak internal controls can magnify these challenges and accelerate a company's decline.
 
Tulisogea karibu na maporomoko ya maji kwa sababu kuna njia maalum zilizotengenezwa kwa ajili ya kutembea kwa miguu, ili uweze kushuhudia maporomoko haya moja kwa moja kwenye mto Zambezi. Upande huu tulikutana na watalii wengi sana.
(TUPIAMO KAPICHA MKUU)
 
Kaka. Tushushe episode namba 26 kaka
 
Kwa sisi tulio/tunao build business froom 0 ndio tutakuelewa, wengine sio rahis. Huku nots zina apply kidogo sanaaa
 
Nimeipenda style yako ya kuombea episode za mwendelezo baada ya alosto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…