Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.
We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.
Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosiβ¦ mara tukutane wiki hiiβ¦ mara tukutane saa flanβ¦
mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.
Una ahadi saa flan⦠Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
π¬π₯Ά Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.
Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?
Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.
Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?
Lengo la kukuandikia ivi ni⦠Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.
Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.
Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. βββββββββββββββββββββ
NIME WAKILISHA.
Wakati naandika nilijua tu kuna mtu kama ww atakuja kupinga nilichoandika.Unajua maana ya kuwakilisha?. Hiyo ina maana ni mawazo ya watu wengi. Sasa utamwakilisha nani kwa mawazo yako hayo mabovu?.
Hii story inahusu maisha yanayoendelea,inaweza isiwe na mwisho. Ila inaweza kupumzishwa tu. Ksbb inahusu maisha yanayoendelea.
Sasa ukisema ifike mwisho. Mfano hapo yuko south,akisema The end utakuwa umeelewa kilichofuatia?.
Fanya THE END ni kuachana nayo wewe mwenyewe. Wengi tu wametanya hivyo. Hakuna anaekulazima uendelee nayo na chaja yako ya kuazima
Huu ni mkasa endelevu ukikosa bando mkasa umetumwa Utah unit's tu. Halafu mbona unakuwa na arosto na vitu ambavyo havibadirishi wala kuongeza chochote kwenye maisha yako? Jifunze kuwa na kiasi kwenye maisha yakoOyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.
We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.
Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosiβ¦ mara tukutane wiki hiiβ¦ mara tukutane saa flanβ¦
mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.
Una ahadi saa flan⦠Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
π¬π₯Ά Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.
Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?
Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.
Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?
Lengo la kukuandikia ivi ni⦠Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.
Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.
Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. βββββββββββββββββββββ
NIME WAKILISHA.
fact mwenetuOyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.

Mkuu naomba kuelewa hapaUtah unit's tu
Natumia clever Keyboard sorry bhanaπππMkuu naomba kuelewa hapa
πWatu wanajali mudaOyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.
We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.
Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosiβ¦ mara tukutane wiki hiiβ¦ mara tukutane saa flanβ¦
mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.
Una ahadi saa flan⦠Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
π¬π₯Ά Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.
Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?
Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.
Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?
Lengo la kukuandikia ivi ni⦠Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.
Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.
Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. βββββββββββββββββββββ
NIME WAKI
unataka tafsir ya hko ulchoandka auPeople here
Congrats broThanks God result imetoka vizuri mpaka sasa nina 1st class imenyooka, still hata research ikija vibaya nina uhakika wa 1st class.
Mwakani sikosi cheti cha Best student π
Kwa kusherehekea results, kesho tutaendelea na mwendelezo.
Acha makasiriko.Wanadamu tumezaliwa kiubinafsi Sana mawazo yako yote yako sawa kwasababu una uhuru huo lakini unampobana mleta Uzi unamkosea kwasababu yeye anatumia akili,muda na gharama kama ambazo wasomaji mwatumia ,Apo kwenye akili nasisitiza anajitahidi vilivyo Code baadhi tusizijue kwa usalama wake na hata familia yake .Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.
We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.
Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosiβ¦ mara tukutane wiki hiiβ¦ mara tukutane saa flanβ¦
mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.
Una ahadi saa flan⦠Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
π¬π₯Ά Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.
Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?
Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.
Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.
Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?
Lengo la kukuandikia ivi ni⦠Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.
Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.
Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. βββββββββββββββββββββ
NIME WAKILISHA.
Kiswahili cha Kongo hiki sio BossWatu hapa kibao kuna uzi au