Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.

We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.

Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosi… mara tukutane wiki hii… mara tukutane saa flan…

mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.

Una ahadi saa flan… Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
😬🥶 Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.

Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?

Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.

Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?

Lengo la kukuandikia ivi ni… Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.

Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.

Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. —————————————————————
NIME WAKILISHA.
 
Attachments

  • IMG_20240812_181650.jpg
    IMG_20240812_181650.jpg
    75.9 KB · Views: 10
Unajua maana ya kuwakilisha?. Hiyo ina maana ni mawazo ya watu wengi. Sasa utamwakilisha nani kwa mawazo yako hayo mabovu?.

Hii story inahusu maisha yanayoendelea,inaweza isiwe na mwisho. Ila inaweza kupumzishwa tu. Ksbb inahusu maisha yanayoendelea.

Sasa ukisema ifike mwisho. Mfano hapo yuko south,akisema The end utakuwa umeelewa kilichofuatia?.

Fanya THE END ni kuachana nayo wewe mwenyewe. Wengi tu wametanya hivyo. Hakuna anaekulazima uendelee nayo na chaja yako ya kuazima
Wakati naandika nilijua tu kuna mtu kama ww atakuja kupinga nilichoandika.

Watu wengi tu nmewawakilisha, kwa7b wapo wengi huko nyuma walimwomba muendelezo na sio mara moja ila hawakupata kwa wakati ambao aliupanga.

Pia hata ww upo hapa kwa ajili ya huo huo MUENDELEZO, ila kwa7b hujali muda ndo maana huoni kama ina athari.

Pia sioni ulichopinga maana ww mwenyewe umesema “watu wengi tu wamefanya hivyo, kuachana nayo” sasa sijui unaweza kunionesha hao watu ambao ume wasemea?

Pia nlitegemea mwenye stori ndo angesema hayo ila ajabu et ww unamsemea.

Ungekuwa unajali muda ungeona umuhimu wa nlicho andika, ww umetaka kuonekana umo kumbe haumo na huna tofauti na wabunge vilaza bungeni kwa kupiga meza bum bum bum ili uonekane nawe upo.
 
Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.

We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.

Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosi… mara tukutane wiki hii… mara tukutane saa flan…

mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.

Una ahadi saa flan… Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
😬🥶 Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.

Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?

Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.

Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?

Lengo la kukuandikia ivi ni… Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.

Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.

Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. —————————————————————
NIME WAKILISHA.
Huu ni mkasa endelevu ukikosa bando mkasa umetumwa Utah unit's tu. Halafu mbona unakuwa na arosto na vitu ambavyo havibadirishi wala kuongeza chochote kwenye maisha yako? Jifunze kuwa na kiasi kwenye maisha yako
 
Oyo mwana INSIDER MAN ufanyacho sio kitu kizuri, yaan stori ina mwaka 1 na siku 45 na bado inaendelea tu.

We unaona ni kitu kizuri kumbe umetuletea ujinga kwa7b ya muda stori yako haina ukomo, ulisema mwisho mwezi wa 6 mwaka huu ila naona hujatekeleza ahadi yako.

Mbaya zaidi utakuta matukio ni ya miaka mingi iliyopita.
Kiufupi tu stori yako imepoteza mvuto kwa ww kutokutekeleza ahadi zako mwenyewe, mara tukutane jmosi… mara tukutane wiki hii… mara tukutane saa flan…

mtu anapanga ratiba zake ananunua mb kwa7b ya stori yako afu ana kutana na changamoto hyo.

Una ahadi saa flan… Sa kila ukiingia hola asubuhi hyo
una vumilia mpaka saa 6M hola
unavumilia tena mpaka saa 12J hola
😬🥶 Saa 2,3,4 usiku huo hola pia dah.

Yaan umetufanya tumekuwa kama walinzi, mtu hadi saa6, 8 usiku una amka kuchek MUENDELEZO, ndo nn sasa?

Kwa kweli mpaka sasa wapo waliokopa mb kwa7b ya stori na hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima simu kwa ajili ya stori lakn hawakupata MUENDELEZO.

Wapo walio azima chaja na mengineyo kwa ajili ya stori nao pia hawakufanikiwa kupata MUENDELEZO.

Hao watu wote waliopata changamoto kwaajili ya stori yako unadhani ni wengi kiasi gani?

Lengo la kukuandikia ivi ni… Inatakiwa utekeleze ahadi zako kwa wakati pia usichukue mtu akikudai MUENDELEZO, pia tujue stori yako itachukua muda gani ili tupangilie na mambo mengine.

Stori inakaribia kuwa ISIDINGO sasa kwa kukosa THE END.

Ungekuwa msanii wa muziki, basi jukwaani ungekuwa unapigwa chupa kila mara. —————————————————————
NIME WAKILISHA.
fact mwenetu
sema atakua ametingwa
usihukumu ila kumlaum tu kwa mamb ya kswaili saw lakn anazngua knyaksi ila mamb meng s unajua babu wanaume na kazi
 
NIME WAKI
😂Watu wanajali muda
 
Acha makasiriko.Wanadamu tumezaliwa kiubinafsi Sana mawazo yako yote yako sawa kwasababu una uhuru huo lakini unampobana mleta Uzi unamkosea kwasababu yeye anatumia akili,muda na gharama kama ambazo wasomaji mwatumia ,Apo kwenye akili nasisitiza anajitahidi vilivyo Code baadhi tusizijue kwa usalama wake na hata familia yake .

Mwisho ,katika maisha yetu tujenge dhana ya kuwa na shukrani kwa juhudi zozote zinazotusukuma katika jambo fulani na kuwa na mawazo chanya katika yote tuyafanyayo.Asante INSIDER MAN kwa story hii nzuri ikikupendeza hata imalize mwaka ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom