Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nikapata wazo la kwenda kwa.......hivi unapata wazo la kwenda kwa fulani na ukafurahi kabisa wakati mke wako nyumbani hana raha na wewe ndio sababu na bado unamlaumu kwa makosa yako mwenyewe?? Eti kwanini alikagua simu jamani.

Ndio maana wanawake huwa wanawapiga matukio halafu mnajitilisha huruma hapo unapata jeuri sababu una wanawake wengi pole yake mama J kajipatia zigo la misumari unaacha kusolve matatizo na mkeo unaenda kulala kwa mchepuko shame shame...
 
binafsi inachnganya hii ndio mana wengine wanaita chai unarudije kwako wf hayupo na mlitoka kupishna then hta usijushuhulishe kujua inakuaje lkn kwak ww inakuwa km vile tayar umeshamchoka so liwalo na liwe na uhalisia haiko hvyo ila sishangai pia toka hii stor ilikoanzia hali ni hiihii majina tu ya warembo ndiyo yanabdilika ilikuwa kwa Hilda, Prisca, au Iyrn
 
Mwandiko mbaya na wa hovyo. Unatuumiza macho na hizi comments zako unazoandika na mwandiko wa hovyo.
 

Mama J hakuwa kaolewa bali mke mtarajiwa, aliwekwa ndani kinyumba...
 
Kabisa tena ni chai maharage hata uwe nunda vipi kuna namna conshasi inasumbua
 
Nimeshangaa sana..Lakin ujue nini, huyu hata sio narcist, huyu ni mpumbavu wale waliobobea asijielewe hata anafanya nini.
Mwanaume wa namna hii hakika anakua amelogwa na mwisho wa siku kwakua anavyoviandika hata havi make sense kufanywa na mtu aliyepita angalau darasani, nimeamua kuamini kwel hii ni chai. Ni story tenaa iliyokosa ushawishi kabisaaa kwa watu wanaosoma huku wana digest contents
 
Kwakwel na miki leo ndio nimekubalibwale wanaosemaga hii ni chai. Tena ni chai baridi kabisaaaaa hainyweki episode hii.
 
Jamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini

Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…