Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Mkuu tusome tu story, ila hii kitu kwasasa nimeona sio kwel maana sio kwa kukosa akili huku kwa huyu mwenzetuJamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini
Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
Jamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini
Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
Ndo mana tunasema hii ni chaiJamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini
Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
Kwakweli tuamini hivo tu af jmn jokes aside mtu gani pesa kwake zinamiminika yani gafla mume wa sista anaagwa juu kwa juu na mkewe wanaenda sauz anakubali fasta na milioni juu ha ha we insaida wewe unatudharau sana aiseeNimeshangaa sana..Lakin ujue nini, huyu hata sio narcist, huyu ni mpumbavu wale waliobobea asijielewe hata anafanya nini.
Mwanaume wa namna hii hakika anakua amelogwa na mwisho wa siku kwakua anavyoviandika hata havi make sense kufanywa na mtu aliyepita angalau darasani, nimeamua kuamini kwel hii ni chai. Ni story tenaa iliyokosa ushawishi kabisaaa kwa watu wanaosoma huku wana digest contents
Bas mkuu kama anamwita mke wake sisi ni nani kumwita mzazi mwenzaHahah i can't use the magic word, hebu tukae hapa kwa jinsi stori ilivyoelezwa alikuwa kama mzazi mwenza tu...
INSIDER MAN amekuwa akimuita 'mke wake' labda kwa kuwa wanaishi wote au kwa kuwa alishamtolea mahari...
Ningekuweka wewe ndani na kukulipia mahari na kukuzalisha na kulala na wewe kitanda kimoja wewe ni mke wangu mkuukwa ww unavoelewa mfano ungekua ww ungeitwaje
Be it Chai or whatever, does it change the taste?Ndo mana tunasema hii ni chai
Which taste are u referring to?Be it Chai or whatever, does it change the taste?
Kujua kuwa hii sio stori ya kutungwa bali ni visa halisi ni pamoja na kuelezea makosa ya mueleaji.Insider anelezea uhalisia hadhira inataka aeleze kama inavyotaka yenyewe.Jamaa mjinga kweli, kuna watu huko walikua wanasema jamaa ana akili za kitoto na ni mjinga. Na mimi naanza kuamini
Inakuaje tena anatoka out na Asmah mbele ya akina Hilda tena anasema Asmah alikua anadeka mbele ya akina Hilda, kitu ambacho Iryn anamaind kila wakati na mara ya Mwisho Iryn alimwashia kuhusu kulala na Asmah
Asante
Ooh!! Pole sana.Asante
Nlifiwa dear
AsanteeOoh!! Pole sana.
Nadhani itakua ni umiliki wa simu Kwa Pili kinyume na Sheria za Shule, Chats zao pamoja na Muamala wa hela huenda ndio ushahidi uliotumika dhidi ya INSIDER MANINSIDER MAN
Sio Kwa pili huko kaharibiwa na kiboyfriend chake halafu mama pili anakuhisi wewe.au Ile kumtumia pesa
Mwanaume mchepukaji hawezi kufanya makosa kama hayo ya kujirudiarudia tena kwa kuyapanga wewe mwenyewe,Ila si ndio sehemu ya story na huko mbeleni utaona repercussion ya hicho alichokifanya. Actually nimependa anavyoweka small details kama hizi ili mbeleni usiwe na mshangao how imetokea.
Nakupa mfano matukio mawili ambapo naweza mpongeza INSIDER MAN moja ni kuweka ile small detail hii hapa kabla hata ya kueleza nini kitatokea nyumbani.
"Kipindi niko njiani nilifuta picha zote za Iryn mpaka namba za simu, na nilijiapia kwamba pindi nikifika home nitaendelea kufuta picha zote kwenye simu yangu nyingine ya zamani"
Jambo lingine ni kuweka ile small detail ambayo kwa akili ya kawaida unaweza ichukulia poa katika simulizi yake. Ni lile tukio la kuelezea mtoto wa mama wawili kumuomba pesa sijui ilikua ya simu ile then akaipotezea. Ila katika episode iliyopita inakusaidia msomaji kuanza kuconnect matukio.
Longstory short hayo yalishatokea meaning tujifunze kwa makosa yake na katika yale mazuri yake.