Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mi nimeendesha Uber mwanzon ilipofika Nina tabia ya kujaribu kila kitu ili kupata kujua hasara na faida then naanzisha biashara au naipotezea. Niliendesha miez 3. Ningekuwa ni mtu wa kuandika stor na Mimi ningeleta yangu. Ila kwa kifupi kijana wangu alioa kabisa bint wa kinorway baba yake tajiri mkubwa ana kiwanda cha samaki. Sasa hiv yupo huko
 
Chai chai.

Madereva wa uber wenyewe wanashangaa haya maisha anayoishi mwenzao.
ZINGATIA!!!
Maisha huwa hatufanani na hata bahati huwa tunatofautiana sana. Kingine pia Jamaa hapa anaweka hii story kwa sababu tu ni Anonymous ila kiuhalisia asingeweza kuwasimulia Uber wenzie kitaa kwa sababu Watu huwa hawasemi Mafanikio yao. Wataishia kukwambia Matatizo tu na Utaamini Maisha ya Uber ni magumu sana kumbe kiuhalisia kila moja ana Zali lake!!
 
Inatokea pia kwa wale tour guide wanaoendesha magari mbugani kama mikumi au serengeti, wengi wameoa wazungu na waliondoka kwenda kuishi nje.
 
'Yaani unadhani kuwa you're the universal standard unit to set the reference or benchmark kwa wengine

Mkuu hii silaha ni nzito sana😀
 
Mkuu Kuna watu ukosoaji wao tu inakupa picha hadi level yake ya exposure. Inawezekana Kuna vionjo vya chai kwenye story lakini wanavyovisema ni chai Kuna watu wanafanya hapa hapa tz.
Mkuu hili jibu lako asipoelewa usimuelezee Tena. Wabongo wengi hutumia level zao za uchumi kupima Hali za wengine. Akiona hawezi onga laki ukija na story umeongea milioni ubongo wake unajilock. Kurahisisha mambo kwenye ubongo wake anahitimisha tu ni chai.

Kingine watu wa nashindwa kutifautisha ideal situation na real situation. Mtu anahoji mtu na Familia yake hawezi fanya abc wakati hayo makosa yako kwenye jamii daily.
 
INSIDER MAN mimi ninacho shangaa ni maisha yangu ya kimaskini sana naona mtu anatoa necklace na watch ya milioni 30 huku akitoa simu ya iphone 13 pro bila shida yoyote......basi wengine tunasindikiza tu maisha mkuu ila wewe ulikula vizuri sana hongera......ujue pia ulivokuwa pale kwa uncle uliteseka sana, vipi yule mke wa uncle anaendeleaje???...
 
Wewe umejuaje mimi ni 1998-2003 kiufupi pengine mimi nipo aged kwako....
 
Siku hizi natia pesa ila muhindi hajai manina.
 
Kwahiyo wewe ukiwa na pesa, gari yako ikigongwa utakuwa unaenda kunyoosha bila kudai chochote. Yani unamwambia aliyekusababishia ajali awe na amani tu yani fresh
Huyu jamaaa anakelele sana, ambazo hazina msingi shida kubwa ni ujuaji na wivu kwa msimuliaji kuona anapata attention kubwa. Lengo kuu la story ni kujifunza na kuburudika.
 
Huyo Jamaa Ni mpinzani lakini it's good kama hujatembea, huna exposure utaona hivi vitu kama haviwezekani hapa hapa bongo kuna kampuni zinawalipa watu mpaka 20 M kwa mwezi sembuse international organization

hizo za kutoa hela bila kupata kitu wanaume watanzania tu wapo wanaofanya, once nilimshuhudia jamaa ana mwachia mwanamke business card yake halafu anampa 1 M anamwambia aweke vocha amcheki
 
Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwa
Halafu pia sidhan kama anasimulia Kila tukio, nafikiri kachagua wahusika wachache.
 
Story inaanza ndani.ya miaka miwili kazini ametengeneza million 24 .

Halfu alikuwa intern wale wataesa wanaolipwa laki 4 .halfu muda huohuo akafungua biashara ya hardware kama sijakosea.

Hata kama ni upigaji Ila kwa million 24 alitupiga
Kwa wewe ulietafutiwa kazi na Taesa nihaki ulipwe hiyo laki nne, lakini pia Tanroad wanalipa mil 1.2 lakini pia Barick wanalipa zaidi 1.8M Kwa intern nahapo bado malipo mengine.
 
Kuhonga macho matatu hata mie nimewahi kudadeki zangu uchi una nguvu kuliko bulldozer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…