Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 1,535
- 2,565
Kabisa; yaani sisi wazee mnatufanya tuwaone vijana wote ni wa hovyo kumbe vijana wazuri na waaminifu mpo wengi tu. Mfano ni Insider, kaonesha uaminifu mkubwa sana kwa mzee Pama, mzee Juma, mama wawili nk. Imagine hadi mzee Pama aliacha hadi wosia kabisa to him; what a story...!Watu kama nyie ndio mnatufanya vijana tusiaminike
Hiyo ilikuwa sio harusi. Hiyo mlikiwa mnashuhidia kufungwa kwa ndoa. Harusi ni sherehe yenye mkusanyiko wa watu wengi zaidi ya 100+,kusherehekea kufungwa kwa ndoaNilihudhuria harusi jumatano iliyopita Jamaa alikuwa anamuoa Mwanamke black American watu tulikuwa 16 tu. Ukiachana na maharusi na Afisa wa Rita na DJ/MC wa shughuli. Labda na Wapishi
yan niny mnabiashana alafu muoaji nimetulia tyuu happa nawashangaaHiyo ilikuwa sio harusi. Hiyo mlikiwa mnashuhidia kufungwa kwa ndoa. Harusi ni sherehe yenye mkusanyiko wa watu wengi zaidi ya 100+,kusherehekea kufungwa kwa ndoa
Hakuna tulipobishana muoaji. Tuambie basi wewe muoaji. Nini ni nini?yan niny mnabiashana alafu muoaji nimetulia tyuu happa nawashangaa
Nimefika🤪Ok. Nipo nimekaa huku getini pa kuingilia. Seat za nyuma kabisa ukifika nishtue
Jamani dohKama bado hujafunga ndoa na mama J ni bora ukamuacha tu . ni bora ukamuacha saa hizi japo ataumia lakini ni much better kuliko hayo maumivu ya ndoani. Mama J akijua umezaa na Iryn kuna uwezekano mkubwa akavunja ndoa, sasa ya nini kuifunga? Pia inaonekana wazi wala humpendi huyo mama J mana wala huna muda naye kabisa kama ulivyo na muda na michepuko yako ila inaonekana unataka kumuoa kwa sbb umeshapeleka mahari na tayari ndugu jamaa na marafiki wanamjua kuwa ni wife..usione aibu kumwacha ni bora hata ukampa zawadi ya nyumba na gari kama kifuta machozi kisha move on..
Wewe funga ndoa na Iryn after all Iryn anampenda mwanao kwa hivyo kijana wako akifikisha 7 years unamchukua anakaa na Iryn. Huyo Iryn anakupenda kweli na utainjoi zaidi ukiwa naye kuliko huyo mchaga wako. Usisahau wachaga wengi wanabakigi wajane hasa wale wenye waume kama Insider.
Sumu haijaribiwi kwa kuonjwa shauri zako
sasa bro unashauri story ya 2023 na leo ni 2024 itasaidia nini??Kama bado hujafunga ndoa na mama J ni bora ukamuacha tu . ni bora ukamuacha saa hizi japo ataumia lakini ni much better kuliko hayo maumivu ya ndoani. Mama J akijua umezaa na Iryn kuna uwezekano mkubwa akavunja ndoa, sasa ya nini kuifunga? Pia inaonekana wazi wala humpendi huyo mama J mana wala huna muda naye kabisa kama ulivyo na muda na michepuko yako ila inaonekana unataka kumuoa kwa sbb umeshapeleka mahari na tayari ndugu jamaa na marafiki wanamjua kuwa ni wife..usione aibu kumwacha ni bora hata ukampa zawadi ya nyumba na gari kama kifuta machozi kisha move on..
Wewe funga ndoa na Iryn after all Iryn anampenda mwanao kwa hivyo kijana wako akifikisha 7 years unamchukua anakaa na Iryn. Huyo Iryn anakupenda kweli na utainjoi zaidi ukiwa naye kuliko huyo mchaga wako. Usisahau wachaga wengi wanabakigi wajane hasa wale wenye waume kama Insider.
Sumu haijaribiwi kwa kuonjwa shauri zako
,,,8000 TZS kipenzi.
Uko seriouscacuteeKuolewa mke wa pili raha Sana kama mwanaume akipangilia ratiba zake vizuri.
Mchaga wangu huna baya.
Mitano tena kwa wanaume wa kichaga hasa warombo
INSIDER MAN atakuwa ametenda haki kwa wote kama akiwaoa. Tena awaoe siku moja.
Mungu akusamehe sanaYeah I am serious
Nisamehewe Nina kosa gani?Mungu akusamehe sana
🤣yan niny mnabiashana alafu muoaji nimetulia tyuu happa nawashangaa
la uzinifuNisamehewe Nina kosa gani?
Me nkisema kwamba cacutee anaeza akawa iryn mnabisha unaona quotation zake😂🙌Kuolewa mke wa pili raha Sana kama mwanaume akipangilia ratiba zake vizuri.
Mchaga wangu huna baya.
Mitano tena kwa wanaume wa kichaga hasa warombo
INSIDER MAN atakuwa ametenda haki kwa wote kama akiwaoa. Tena awaoe siku moja.