Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Watu kama nyie ndio mnatufanya vijana tusiaminike
Kabisa; yaani sisi wazee mnatufanya tuwaone vijana wote ni wa hovyo kumbe vijana wazuri na waaminifu mpo wengi tu. Mfano ni Insider, kaonesha uaminifu mkubwa sana kwa mzee Pama, mzee Juma, mama wawili nk. Imagine hadi mzee Pama aliacha hadi wosia kabisa to him; what a story...!
 
Nilihudhuria harusi jumatano iliyopita Jamaa alikuwa anamuoa Mwanamke black American watu tulikuwa 16 tu. Ukiachana na maharusi na Afisa wa Rita na DJ/MC wa shughuli. Labda na Wapishi
Hiyo ilikuwa sio harusi. Hiyo mlikiwa mnashuhidia kufungwa kwa ndoa. Harusi ni sherehe yenye mkusanyiko wa watu wengi zaidi ya 100+,kusherehekea kufungwa kwa ndoa
 
yan niny mnabiashana alafu muoaji nimetulia tyuu happa nawashangaa
 
Kama bado hujafunga ndoa na mama J ni bora ukamuacha tu . ni bora ukamuacha saa hizi japo ataumia lakini ni much better kuliko hayo maumivu ya ndoani. Mama J akijua umezaa na Iryn kuna uwezekano mkubwa akavunja ndoa, sasa ya nini kuifunga? Pia inaonekana wazi wala humpendi huyo mama J mana wala huna muda naye kabisa kama ulivyo na muda na michepuko yako ila inaonekana unataka kumuoa kwa sbb umeshapeleka mahari na tayari ndugu jamaa na marafiki wanamjua kuwa ni wife..usione aibu kumwacha ni bora hata ukampa zawadi ya nyumba na gari kama kifuta machozi kisha move on..

Wewe funga ndoa na Iryn after all Iryn anampenda mwanao kwa hivyo kijana wako akifikisha 7 years unamchukua anakaa na Iryn. Huyo Iryn anakupenda kweli na utainjoi zaidi ukiwa naye kuliko huyo mchaga wako. Usisahau wachaga wengi wanabakigi wajane hasa wale wenye waume kama Insider.

Sumu haijaribiwi kwa kuonjwa shauri zako
Jamani doh
 
sasa bro unashauri story ya 2023 na leo ni 2024 itasaidia nini??
 
Kuolewa mke wa pili raha Sana kama mwanaume akipangilia ratiba zake vizuri.
Mchaga wangu huna baya.
Mitano tena kwa wanaume wa kichaga hasa warombo

INSIDER MAN atakuwa ametenda haki kwa wote kama akiwaoa. Tena awaoe siku moja.
Me nkisema kwamba cacutee anaeza akawa iryn mnabisha unaona quotation zake😂🙌
 
Back
Top Bottom