Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu


JF ni jukwaa ambalo contents zake wanaozalisha ni sisi members, hivyo hakuna kitu kinaitwa kulipwa mzee baba maana hii stori nayo ni moja ya zao la "user generated content"
 
Kidogo kidogo nikinyataa nyataa,, ninatamanii
 
Huwezi ku conclude au kumtumia insider kuwa Ndio maisha yalivyo. Insider Ana share experience yake na haiwezi kuwa hivyo kwa kila mtu, experience has to be lived.
 
Mama j,kaanza kuupiga mwingi,ila mwanangu insider muoe irene hapo ushaanza kuchitiwa
 
Wanawake Hawaoni shida ku-share high value man.
 
Mfano wewe ndio ungekua dada yake mwandishi; kwa situation aliokua nayo kaka yako UNGEFANYAJE?
Afanye hesabu aone asilimia ambazo wanawake wanafanya matukio Kama hayo na wanaume Ni ngapi kwa ngapi, wanawake mnaacha wanaume ama waume zenu mara ngapi kisa tu akatokea mwenye mbolea zaidi. Yaani nyie mnatufanyia haya Ila nyie mkifanyiwa mnaumia mno Mana unajua ladha ya mnachokifanya.
Wanawake huko ulaya wanafilisi wanaume kwenye divorce,yaani nyie ni mashetani shetani akasome kwanza
 
Dada yuko kwenye wakati mgumu sana, mwisho wa siku damu ni nzito kuliko maji. Na hii ndo maana ya ndugu wa shida na Raha.
Dada yeyote anafanya hivyo kwa ajili ya kumlinda kaka yake. Wengine wamechukua watoto wa nje wa kaka zao wanawalea. Linapokuja swala la Kaka na dada au mama na mtoto hawa watu lao linakuwa moja. Wako tayari kubebeana dhambi.
 
Hawa wanawake humu wanaongea tu hivo; kwa kaka zao huenda wamefanya zaidi ya alicho kifanya sister wake mwandishi; sasa uwakute wanavyo wasema wanaume wengine, utadhani HAWANA kakaz. Usikute hadi pesa kwa mawifi wa mchongo wanatumaga hawa
We kiumbe umeshindikana ila najua kama una kaka wa baba mmoja na mama mmoja lazima utasimama na kaka yako kwenye matatizo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…