Hii stori ipo interesting inafundisha na inafikirisha!!π€π
-Mwanamke una gubu,kitandanai hujitumi,kitu kidogo unafungasha kwenda kwenu,una safari kusalimia kwenu unamuachia mumeo week tatu nne na hamu zake,akichwpuka unalalamika unafungasha kwenu!!
-Tangu lini kukawa na ubest friend kati ya mwanaume rijali na mdada unaona kabisa pisi Kali hata bibi yako aanakuonya kabisa we hutilii maana I,boss gani anaipenda familia yako hivo?sawa upendo ila shtuka
-washkaji na maarafiiki wote wanajua na kumpa Hongera mumeo Kwa kumpa hawara mimba,we huna habari,huna hata shushushu wako,wanakuzoom tu.
Umelala unafua kibarazani unacheza na mtoto unatoka mtaani siku zinaenda unajua mumeo Yuko mkoani kikazi kumbe kaja Yuko mtaa wa pili tu hapo na hawara ake Kwa raha zao na watu wanajua.we hujui maskini.ndugu wa mume wanajua we hujui.
-dada wa kitasha anaumia sanaaa akiona mwanaume ana mwanamke mwingine akisahau ye pia ni mchepuko anamuumoza mwenzie mwenye mume.hafikirii hisia za wengine,zake ndo anajali bila kuwaza hata yeye anakosea Kwa mwingine.peisca anapambania kumtukana iryn bit*ch kumbe nae anatoka na mwanaume wa mtuπ€£
-binti unamtamani ex wa mdogoako,unajua ni mume wa mtu,ana mchepuko una mimba yake nawe unataka kuwa mchepuko unakubali kumzalia..wadada wakishua wakipendaπ€£
Mwisho wa siku nimejifunza wanaume kuchepuka haiepukiki pia.hata asipopenda bado atapendwa.ni yeye tu kukosa msimamo
Bado naendelea kujifunza