Kabisa, unadhani Iryn atavumilia matukio anayopigwa mama J, thubutuuu 😂 ndugu insider atajuta kumfahamu, na inaweza hata kuwa mwisho kuona watoto wake. Na wakati huo, mama J akawa tayari amemtoa moyoni akawa hana pa kukimbiliaKama atapaelewa vizuri hapa Insider nae inabidi ajitahidi amtumie vizuri Irene ili siku mambo yatakavyokuwa ndivyo sivyo awe amefaidi vya kutosha. Iwe Both team to score.
Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.
Dudu la yuyu😂😂Kuhusu Mary, tuliachana hasa baada ya kugombana na mdogo wake ndo nikapata sababu. Kipindi anaenda Mwanza tulikuwa bado kwenye mahusiano huku natafuta njia ya kumkataa. Kitu kingine nilikuwa nadelay sababu sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake na mama J. Iryn ajifungue sikuwahi kulala nae hadi disemba ndo tulikutana tena.
Licha ya kuachana na Mary, ila bado akija Dar kusalimia ndo huwa ananicheki, anaomba tukumbushie. Lakini kwa sada ana mtu wake tayari, ila bado ananisumbua nimpe Dudu.
Kipi kilikufanya ukagombana na Lucy?nimesikitika sana aiseeOk! Hadi sasa ni watu 3 tu ambao wanajua kinachoendelea kuhusu hii story.
1. Dullah
2. Allen
3. Sister
Nimetumia Code ambazo ni ngumu kufungua lakini ikitokea mmoja akamwambia mama J, bhasi code zote zitakuwa wazi, ila kwa sasa hata yeye
akisoma hawezi jua😀
Hadi sasa hakuna code iliyofunguka sababu watu niliowazungumzia hata JF hawaijui.😂
50% ya mambo niliyoandika yapo kwenye code 🔐.
Hadi sasa bado mmeshindwa kuwafahamu Mary na Prisca, mtu na dada yake wamefanana, hadi chuo anachosoma Prisca nikawaambia ni UDSM tena Law na mwezi huu ana graduate.
JF hakuna majasusi. Mama wawili nilishawapa code, kama bank mtu kashajua anafanyia ipi, kitengo chake niliwaambia, mara nyingi sana anatembea na MD.🤷🏻♂️
Unawatesa vijana na arosto mkuu 🤣🤣🤣
Halafu kama kuna connection za kazi ambazo sio za kitaalamu uwe unatoa cnnection aisee
Mimi naisubiri season 3; hi story bado sana, yaani bado. Hi story inaendelea kabisa hi.Soon nitakuja na Summary:
Kuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.INSIDER MAN
1. unaweza ukasema Dada aliingiziwa sh ngapi na Iryin?
2. Je Jane alikupa zawadi gani...
3. Mama 2 ni nani hadi akutie aibu na umsamehe?? Still bado una chil around na mwanae...Hapo ulinishinda nimekuona kama miles and miles na mimi hapo hatufanani 100,000%
Nimesema hili kwa sabab I never trust anyone. That's why I am miles away na kusamehe kwa kitu kama kile. Kama ulimsamehe sawa nakuelewa hata mimi ningefanya lkn sio kuwa close tena. Ile pesa uliopewa labda mimi ndio ninginunua hiyo zawadi
😅😅😅cocochanel Mary kakukosea nini? 🤣
Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.
Kipi kilikufanya ukagombana na Lucy?nimesikitika sana aisee
wewe unamfundisha @insiderman kuwa KibentenKama atapaelewa vizuri hapa Insider nae inabidi ajitahidi amtumie vizuri Irene ili siku mambo yatakavyokuwa ndivyo sivyo awe amefaidi vya kutosha. Iwe Both team to score.
Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.
Kwa tulio oa na wife ananyonyesha or umetoka zako safari halafu ukakuta wife kavaa pedi hi kawaida sana, sio ajabuNimesikitika sana baada ya Iryn kukupigisha puli na wewe kukubali.
Halafu unajisifia eti risasi zikatoka za moto
Insider please 🥺 naomba kati ya watu utakaowapa bonus n Mimi unikumbuke kwasababu Dunia hairawah kuwa Fair kwanguUliza swali lolote nitakujibu hapa:
Huyu ni asmahView attachment 3106470
15 anaanzia huyu mkuu.
Mbona alishakuwa kiben10 kitambo, hapa namkumbusha tuu awe kiben10 Pro Maxwewe unamfundisha @insiderman kuwa Kibenten