Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kama atapaelewa vizuri hapa Insider nae inabidi ajitahidi amtumie vizuri Irene ili siku mambo yatakavyokuwa ndivyo sivyo awe amefaidi vya kutosha. Iwe Both team to score.

Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.
Kabisa, unadhani Iryn atavumilia matukio anayopigwa mama J, thubutuuu 😂 ndugu insider atajuta kumfahamu, na inaweza hata kuwa mwisho kuona watoto wake. Na wakati huo, mama J akawa tayari amemtoa moyoni akawa hana pa kukimbilia
 
Kuhusu Mary, tuliachana hasa baada ya kugombana na mdogo wake ndo nikapata sababu. Kipindi anaenda Mwanza tulikuwa bado kwenye mahusiano huku natafuta njia ya kumkataa. Kitu kingine nilikuwa nadelay sababu sikuwa na mwanamke mwingine zaidi yake na mama J. Iryn ajifungue sikuwahi kulala nae hadi disemba ndo tulikutana tena.

Licha ya kuachana na Mary, ila bado akija Dar kusalimia ndo huwa ananicheki, anaomba tukumbushie. Lakini kwa sada ana mtu wake tayari, ila bado ananisumbua nimpe Dudu.
Dudu la yuyu😂😂
 
INSIDER MAN
1. unaweza ukasema Dada aliingiziwa sh ngapi na Iryin?

2. Je Jane alikupa zawadi gani...

3. Mama 2 ni nani hadi akutie aibu na umsamehe?? Still bado una chil around na mwanae...Hapo ulinishinda nimekuona kama miles and miles na mimi hapo hatufanani 100,000%
Nimesema hili kwa sabab I never trust anyone. That's why I am miles away na kusamehe kwa kitu kama kile. Kama ulimsamehe sawa nakuelewa hata mimi ningefanya lkn sio kuwa close tena. Ile pesa uliopewa labda mimi ndio ninginunua hiyo zawadi
 
Ok! Hadi sasa ni watu 3 tu ambao wanajua kinachoendelea kuhusu hii story.
1. Dullah
2. Allen
3. Sister

Nimetumia Code ambazo ni ngumu kufungua lakini ikitokea mmoja akamwambia mama J, bhasi code zote zitakuwa wazi, ila kwa sasa hata yeye
akisoma hawezi jua😀

Hadi sasa hakuna code iliyofunguka sababu watu niliowazungumzia hata JF hawaijui.😂

50% ya mambo niliyoandika yapo kwenye code 🔐.

Hadi sasa bado mmeshindwa kuwafahamu Mary na Prisca, mtu na dada yake wamefanana, hadi chuo anachosoma Prisca nikawaambia ni UDSM tena Law na mwezi huu ana graduate.

JF hakuna majasusi. Mama wawili nilishawapa code, kama bank mtu kashajua anafanyia ipi, kitengo chake niliwaambia, mara nyingi sana anatembea na MD.🤷🏻‍♂️
Kipi kilikufanya ukagombana na Lucy?nimesikitika sana aisee
 
Unawatesa vijana na arosto mkuu 🤣🤣🤣
Halafu kama kuna connection za kazi ambazo sio za kitaalamu uwe unatoa cnnection aisee

Soon nitakuja na Summary:
Mimi naisubiri season 3; hi story bado sana, yaani bado. Hi story inaendelea kabisa hi.
Kuna vitu vingi sana vya kujifunza humu kwa vijana, vingi sana; sema wengi tumejikita kwenye mapenzi tu; story ya mwanaume yeyote issues za mapenzi hazikosekanagi. Niliandika huko nyuma mambo ya msingi ambayo baadhi ni ya kujifunza, sitarudia tena. Kitu pekee ulicho nishinda we dogo ni hiki, unawezaje kuwaacha wanawake ulikua nao kwenye uhusiano kwa maneno makali namna ile? Nimesoma jinsi ulivo muacha Prisca, Asmaa na hata kwenye misukosuko yako na Iryn; ukweli wanaume wengi ni ngumu sana kumtamkia maneno yale mwanamke. Niwasanue kidogo wanawake mliopo humu; ukiona umezaa na mwanaume mwingine na wewe upo ndani ya ndoa, usije jidanganya mumeo eti hajui kama hiyo copy sio yake, ukiona kachukua hatua ya kupima DNA ujue kuna jambo tofauti umemuudhi and hence anaamua kukuonesha kwamba he knew kwamba huyo mtoto hapo sio wake, why hua hasemi kwako? Is because mwanaume ni wachache sana wenye uwezo wa kumtamkia mwanamke maneno makali ya kuachana nae; tunakataga mawasiliano na kugoma kutoa pesa za matumizi, baadae utaambiwa tu, "JIONGEZE"
I wish nijue jinsi gani biashara yako ya Dodoma iliendeleaje kwa wewe kua mbali nayo over 4 months, I want again to learn something here, pia bimkubwa na engineer wa Zambia (baba yako ) walipokeaje habari mtoto mpya. Otherwise, Asante sana kwa story nzuri yenye mafunzo mengi
 
INSIDER MAN
1. unaweza ukasema Dada aliingiziwa sh ngapi na Iryin?

2. Je Jane alikupa zawadi gani...

3. Mama 2 ni nani hadi akutie aibu na umsamehe?? Still bado una chil around na mwanae...Hapo ulinishinda nimekuona kama miles and miles na mimi hapo hatufanani 100,000%
Nimesema hili kwa sabab I never trust anyone. That's why I am miles away na kusamehe kwa kitu kama kile. Kama ulimsamehe sawa nakuelewa hata mimi ningefanya lkn sio kuwa close tena. Ile pesa uliopewa labda mimi ndio ninginunua hiyo zawadi
Kuna historia jombaa, na kila mtu ni mkali kwa anachokipenda.

Mama 2 akiweka mzani kati ya mwanae na huyu mwamba ni wazi anaempenda zaidi ni mwanae na ndo atamlinda at any cost.

Wewe unasema huamini mtu halafu unataka mama 2 akuamini wakati kuna ushahidi kua unamhonga binti yake kwa mlango wa nyuma bila mama mtu kujua...

Hata mimi ningekua mwamba ningesamehe tu, shit happens
 
cocochanel Mary kakukosea nini? 🤣
😅😅😅
Anaboa sana
Mwanamke utake mwanaume aliye toka na kulala na sister wako hata ndugu huo ni umwalay tu, ukicheche, obsession, wivu, tamaa.. n.k. Hata mtu kutoka na mwenza a friend sipendi iwe sibling.. Huyo ni 🤮🤮🤮

Utakuta hata hana bwana wa kusema wakeeee anataka kutulia nae.. Wanawake ni hisia mbele.. mwingine yeye wake ni Insider man. Na mapicha anampiga siku zikifyatuka kichwani atatusumulia

Hiyo kukutana nae ngoja aje amuonyeshe jambo atajuta one day. Bora amkimbie kabisaaaaaa...
 
Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.

Wana bond moja amazing ya kumvusha Iryn kutoka pangoni kitu muhimu sana maishani. Wanaume wengine hawakumpa Amani aliyopata hawezi kumtema hata kama anamsaidia biashara. Na pia na watoto hawa ni for life labda Insder akamatwe ana wanawake wengine na tabia yake.
 
Insider hujaeleza siku ulipomsikia mama J akiongea na mwanaume na ukahisi huenda anachepuka,hujatuliza nyoyo zetu hapo.
Mama wawili hakuolewa mpaka akazalishwa na mtu mwingine?
Shemeji yako mume wa sister wa Arusha hajashtukia mchezo mpaka mtoto ana mwaka na miezi mitatu na nyongeza ya mimba?
Mama yako ni muumini wa dhehebu gani?
Ushauri
Usifunge ndoa mapema na mama J mpaka pale utakapogundua kuwa ameridhika kwa kiasi kikubwa kuolewa ndani ya mitala.
Usifunge ndoa ya Kikristo
Kwenye maamuzi ya kuoa pokea ushauri asilimia kumi,inayobaki angalia moyo wako na tumia akili na maono yako binafsi.
Usijaribu kumshirikisha Mungu kwenye haya mambo,kwa uliyoyafanya rafiki yako Shetani ataigiza kama Mungu atakupa ushauri utakaokuingiza chaka.
 
Kama atapaelewa vizuri hapa Insider nae inabidi ajitahidi amtumie vizuri Irene ili siku mambo yatakavyokuwa ndivyo sivyo awe amefaidi vya kutosha. Iwe Both team to score.

Ukweli mchungu ni kwamba hakuna narudia duniani hapa hakuna mwanamke anayekubali kushare au kuwa mchepuko ( second ) kama hakuna anachofaidika so Insider asorelax akijua Irene kampenda ana plan zake akae kwa machale.
wewe unamfundisha @insiderman kuwa Kibenten
 
Back
Top Bottom