Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Huo uamuzi wa kumwambia mama J ukweli kuhusu Iryn ni sawa kabisa, tena ikibidi mwache dada yako amalizane naye yeye ndio amwambie kila kitu, mwisho akijua kuwa dada yako aliend South kumsaidia Iryn atanuna lakini ikiwa yeye atamwambia hata akijua kama alienda haina shida.

Na siku mtakayopanga kuwa dada yako akaongee naye wewe usiwepo kabisa usafiri kama wiki hivi ili hasira zipungue kwanza.

Usithubutu kufunga ndoa kabla hujamwambia, mwache achague mwenyewe. mpe uhuru wa kugawana mali kama ataamua kuondoka.

Kama mama J akikubali Iryn ni mke wako pia; basi usifunge ndoa ya kanisani funga ndoa ya serikalini kuna option ya kuoa mke zaidi ya mmoja na useme wazi kuwa utaoa mke mwingine ili wote wawe na haki sawa.

Hao wakwe zako usiwawaze sana wacha mtoto wao aamue mwenyewe hatima ya kuolewa wake wawili. mwishoni watakuelewa tu

Otherwise thanks for a good story
 
Unajua hizi ni grounds za kubatilisha ndoa? Hata iwe katoliki? Amuambie kabla hajaoa
 
Sorry ,naomba nitofautiane kidogo na wewe.Nafikiro Iryn alianza kumuelewa INSIDER MAN toka siku alipo mpeleka kwake akiwa kalewa chakari na akabaki anamhudumia mpaka asubuhi na hakumgusa.Pia,pamoja na kwamba aligundua ana pesa lkn mshikaji hakushoboka.Sperm donor wapo wengi na kama usimamizi wa biashara angeweza kuajiri Manager mzuri tu...naamini Iryn kampenda mwamba kwa ile tabia lkn pia pamoja na hayo Insider kamuweka Iryn kwen ya nafasi ya mwanamke,hajaruhusu ampande.Iryn anajua mshikaji mchepukaji but she is still there..why
 
INSIDER MAN naomba mbinu ya kuwapata warembo wa Ethiopia.
Kama unahitaji wa kuanzisha nao mahusino ni ngumu sana kwa strangers. Madem wa Ethiopia hawana shobo kwa wageni, so kuanzisha nao mahusiano ni ngumu sana, otherwise uwe mwenyeji unaishi kule au mgeni uliyehamia.

Kupata wa hook nao, utawapata ila zingatia yafuatayo:
1. Jua tamaduni zao.
2. Jua kutumia lugha yao- Amharic, atleast ujue kusalimia na baadhi ya maneno muhimu. Wengi wao ngeli hawajui, wanatumia Amharic, ndio lugha yao.
3. Uwe na mwenyeji wa kule
4. Uwe na Pesa.

Ukitaka hoes wapo nenda clubs kama, Club H20, Redsea lounge, The Vault nknk. Lakini kama hujazoea mazingira, tafuta mwenyeji ili uyazoee mazingira. Ukizoea mazingira utawala sana hadi bhasi, cha muhimu pesa, wengi kule wana maisha ya kawaida sana.

Asilimia kubwa ya wanawake wa Kule wana maadili sana, huwezi fananisha na magube ya huku Tanzania.

Pia madem wa kule wanaushamba fulani hivi, hawajawa affected sana na globalization, hasa ukiwakuta wale wa ndani ndani. Unaweza kutana na pisi kali, ila sasa alivyovaa hadi kero.
 
Wakristo hawaruhusiwi Kiowa wake wawili, je wazazi WA mama j huoni kuwa wanaweza kumrudisha binti yao nyumbani na wewe kurudishiwa mahari yako?
Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
 
Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
Mkuu INSIDER MAN vipi kuhusu fursa za biashara hapa Tanzania ulisema utatupatia

 
mambo ya Mondo haya🙌🏿🙌🏿
 

Attachments

  • IMG_6313.jpeg
    809.9 KB · Views: 94
  • IMG_6311.jpeg
    821.6 KB · Views: 99
Kihistoria sababu kubwa ni kuwa Ethiopia haikuwahi kuwa koloni la beberu yoyote. Kwahiyo hamna 'influence' aidha kwa lugha au tamaduni za kigeni za wazungu/waarabu nk.
 
Boss kipande gani hiko Iryn alilewa chakari ?
 
I had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.

She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.

I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
 
Mkuu shukrani na hongera kwa viunzi ulivyovivuka Mungu azidi kukupa mbinu na maarifa ya kufaulu hapa palipo bakia , Binafsi natamani kuskia juu ya fursa ambazo umeziona kwenye hizi harakati zako
 
Hahahah unatushawishi kaka tutimbe adidas ababa😂
 
Mama J kwasasa hayuko chini ya wazazi ni above 18. Ana maamuzi yake kama mtu mzima, kuhusu ukristo naweza kuswitch nakuwa muslim. Akina Seleman walioa wake 700 sembuse mimi wake wawili tu?
Switch tu kaka ukifwatilia kwanza kiundani izi dini zina mambo mengi ya ajabu kama umeridhia kawe muislim uwape wote wake zako haki sawa.Mchawi je wake zako wapo nao tayari kuswitch dini?😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…