Sababu ya swali langu mkuu nilikuwa nasoma ikafika sehemu nikapotea kabisa yaani umeandika kiswahili lakini kile kigumu chenyewe. Sijauliza kwa negative perspective ilikuwa ni complimentHapana mkuu!...Sababu ya swali lako Ni ipi haswa?
Sahivi ruksa kunishauri kuhusu sakata la mama J. Huko nyuma watu mlikuwa na hisia kali sana nilikuwa nacheka tu, mlikuwa mnatoa ushauri kwa mambo yaliyopita.
Kwasasa unaweza kushauri kwa suala la mama J, maana siku atakayojua ukweli anaweza nichoma kisu. I feel karma, ila ninaamini kila kitu kinatokea kwa sababu, ni mipango ya Mungu.
Ni Mungu yuleyule wa Suleimani mfalme wa Ke 600+Ushasema kabla ya Yesu. Hakuna aliyekunyima kuoa wengi ila kama Yesu kwako ni Bwana na MWOKOZI wa maisha yako sheria yake haibadiliki kufuata tamaa za wanadamu mkuu. Hakunaga Mungu wa kisasa mzee. Mungu ni yule yule na utaratibu ni uleule.
Cami Mary na insiderKuna 20k hapa kwa atakayepatia hawa ni akina nani.
Hapo gambler no wayKuna 20k hapa kwa atakayepatia hawa ni akina nani.
Wewe kubet huwez😂Cami Mary na insider
0/3Lucy, insider na Iryn 😃
I am in this situation right now. I have kid 5 years old a girl came in our home as a family friend visited my family but we fallen I 💔 she was pregnant five years and got a handsome boy who is 5 years now.I once was on the same situation back 2015 when she conceived without my consent .but when she break news that she is pregnant ,I accepted and became accountable of my own action....remember this lady was my university lecturer..she blessed me with twins (Blanca na Bianca)..don't reject pregnancy simply because you were not involved in the decision process..as a man you need to be accountable and responsible..this is why you are now travelling to SA....while making sure my friend Junior and his mom has all the needs....
I once said" katika kiumbe kinacholaumwa sana duniani lakini chenyewe LAWAMA hizo kinaona ni Sifa ni MWANAUME ...
Be confident,walk tall,make sure your niche is well kept and those around you are happy..
Kulia kwako dada yako, wewe katikati kushoto IrynKuna 20k hapa kwa atakayepatia hawa ni akina nani.
Jimmy, vivian na SamanthaKuna 20k hapa kwa atakayepatia hawa ni akina nani.
Ni muda sasa wa mama j kuleta mtoto wa pili ili isijetokea mmoja kusema mimi nimekuzalia wengiI had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.
She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.
I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
Iryn, insider na mdogoake iryn(jina nmesahau)Kuna 20k hapa kwa atakayepatia hawa ni akina nani.
0/3Kulia kwako dada yako, wewe katikati kushoto Iryn
2/3Hao ni
Jimmy, vivian na Samantha
Namba ya kutumia muamala ni
2/3Iryn, insider na mdogoake iryn(jina nmesahau)
Hapo ni RSA.
Utakuja kujua usijali.INSIDER MAN Mbona husemi kilicho endelea baada ya kujua mama j anakwenda VIWANJA na ukamsikia ikiongea kwa simu baadhi mazungumzo yaliyokupa mashaka.
Kwa mara nyingine… hao ni Iryn, insider na dadaako?