Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hivi hii story umeisoma kweli ukajua mama J na Insider wametoka wapi?? Jinsi mama J alivyomthamini Insider wakati hana hata 100?? Unafikiri hakukuwa na wanaume wenye hela waliokuwa wanamtaka ila akachoose to love him pamoja na hali yake??

Ila sishangai coment yako wanaume wengi ndio walivyo wakipata vihela kidogo wanawasahau walioanza nao chini na kuwavumilia wakati hawana kitu.
Tena kwa situation kama ya Insider kupata mwanamke mwenye hela pamoja na yote nampongeza mno bado anamkumbuka mama J yangekuwa haya makurumbembe ya bongo na yanavyopenda kulelewa yangekuwa yalishamwacha mama J kwenda kuwa Mario full time.
 
Chief shukrani kwa uzi huu kuhusu maisha yako,mafundi ni Mengi sana 👊🏿
 
Jaman mbona mnalazimisha tuwe kama nyie wanaume tukipata pesa tunashare nje, inaitwa economic sharing hahhahhaha
 
Na kingine hamna kibaya mama J kakifanya, ni tamaa za mwamba kuchovya chovya..

Inatokeaga kwa hiyo, ila ndo ivo mwisho wa siku mama j lazima aumie tu hata amuandae vipi.
 
Kwa historia ya wanawake, mimi binafsi siwezi kumyonea huruma Mama J, na huwa nafurahi nikiona mwanamke anaumia na mapenzi, hivi viumbe vinatuumiza sana mioyo yetu, tunateseka sana kutafuta fedha kwa ajili yao, lakini wakipata mwenye pesa unaachwa bila hiruma...nina hakika humu 💯 hakuna mwanaume ambaye hajawahi kuachwa na hawa viumbe kwa sababu ya umasikini wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…