Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Uko sahihi Kuna watu wanadhan jamaa kakosea sana ..wengi hawajakumbwa na masaibu haya au ni wivu tu
 
Uko sahihi Kuna watu wanadhan jamaa kakosea sana ..wengi hawajakumbwa na masaibu haya au ni wivu tu
Mkuu, hakuna anayemuonea wivu Insider bali tunajaribu kukumbusha awe achukue tahadhari kutokana kile alichotusimulia.

Wanawake ni wajanja sana. Na hata Maandiko yaliposema tuishi nao kwa akili, hayakukosea. Naomba nikupe Mfano. Mwanamke anaweza kukuambia anataka kuzaa nawe na matunzo ya Mtoto ni juu yake. Wewe ukajiona ndiye Kidume mwenye mbegu nzuri!!! Kumbe mwenzako, hesabu zake ziko mbali sana, kuwa Mkeo au mrithi wa Mali kupitia Watoto atakaozaa. Baada ya kuzaa, ndiyo utajua jinsi atakavyofanya jitihada za kutambulika na kuwa karibu yako zaidi.

Haya pia, tunayaona kwa Iryn. Kutoka mchepuko na sasa ni Mke mtarajiwa kama ilivyo kwa Mama J, kwa jitihada anazofanya za kuwa karibu na kutambulika na Insider keshaingia kibla, kwamba wote ni wake zake na anawapenda kwa usawa!!! Na kwa masharti anayompa Insider, unaona wazi kabisa Iryn hayupo tayari kushare penzi la Insider. Ni suala la muda tuu, anamtoa Mama J kwenye nafasi.

Zaidi, Insider hakuwa tayari kuzaa na Iryn. Na pengine, ni kwa sababu aliona tayari ni mume wa Mtu na anafamilia na Mama J na Iryn ni mchepuko. Ni Iryn ndiye alibeba mimba kwa makusudi bila kumshirikisha Insider na wakati huo Insider hakujua sababu hasa za utayari wa Iryn kuzaa naye zaidi ya kuambiwa na kuona ni upendo. Badaye, ndiyo inakuja kufahamika kwamba sababu halisi ni wanatafutwa Warithi na Wasimamizi wa Biashara!!

Mpaka hapo, nadhani ushaona jinsi Iryn alivyo hatua moja mbele ya Insider. Na ndiyo maana, tunamkumbusha tuu kuchukua tahadhari mapema - kuishi na Iryn kwa akili.
 
unaona mbali kama Nyerere
 
Wengi wanaomsuport Iryn sjui Insider ni mawazo tumafinyu au urefu wa kamba ya iryn basi kijana anaona Insider kajipata, ila....
Havinaga muda, uyo dada anakuja kasi eti atajitambulisha mwenyewe, ili tu wafarakane na mama j kusudi apate kuolewa yeye kwa umri nlionao na mengi nliyo ona ya hivi hayakudumu unashangaa mume anarudi kwa bi mkubwa yooote aliyofuata kule sjui yanaishiaga wapi
 
Your the man of the years
 
Maandiko gani hayamtambui mama J? Mapokeo ya taasisi za dini ndio hayamtambui na mamlaka za serikali kwa kuwa wanatambua ndoa ikiwa na cheti kinachotolewa na Jamhuri. Ndoa ni makubaliano ya watu wawili kuishi kama mke na mume kukiwa na ushahidi wa wazazi wa pande mbili, ndugu na marafiki wakati wa utoaji mahali. Pande mbili zikiridhia hiyo ni ndoa tayari.

Hii ndoa ya Insider ni halali mbele za Mungu. Kilichobaki ķimaandiko ni kipengele kimoja ambacho ni agizo la Mungu kutii wenye mamlaka. Hivyo atatakiwa awe na cheti cha ndoa.
 
Hatimaye umekuwa mshauri wa baba J.
 
Hatimaye umekuwa mshauri wa baba J.

😅😅😅
Yule nisivyomfagilia Mary labda yangu anasoma anapita maana hata likes alicha kunipa. 🤣🤣🤣

Tusubirie anaenda kwa Mama yake na Mzee na Dada baada ya kutoka SA kumkaribisha mtoto wao.

Sioni notifications sana siku hizi, ila uzi wake bado unasomwa kizaidi.
 
Uzi wake kilikuwa kijiwe pendwa cha kusogezea muda kama mtu yuko bored na mambo mengine
 
For me,this is the best episode ever.

To all hard workers and hustlers out there,this financial consultation has worth more than 100M tsh. And also,this episode has unlocked the codes for those who are struggling in online taxing.

Bro,

You have my respect,big time!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…