Mnasomaga Biblia za wapi nyie? Halafu lini Insider kasema kafunga ndoa ya Kimila? The way alivyoiweka story yake, mkewe ni Mchagga while yeye sio mchagga, haya kwenye story hi walifata mila za uchagani au kwao?Kwa kuwa ni NDOA baina ya Mama J na INSIDER MAN ni ya kimila, MILA inatambua MITALA so uwepo wa Iryn si tatizo. INSIDER MAN anaendeleza tu mila za ki Afrika![]()
Bro soma Biblia vizuri....., nitajie sehemu gani kwenye Biblia uliona ndoa imefungwa kanisani! Taja mstari walau mmoja tu. Tofautisha maandiko na mafundisho ya DINI, ulicho kisema hapa ni mafunzo ya kidini na sio MunguKuna kitu kinanitatiza namna tunavyomtambua Mama J na kulinganisha Maandiko matakatifu.
Kimsingi, Mama J hatambulikinkama Mke kwa Mujibu wa Biblia tinayoifanyia rejea kwa sababu Ndoa ya Kanisani bado haijafumgwa. Insider Man, kwa Mujibu wa maelezo yake, amelipa mahali tuu kwa Mama J. Hivyo, Mama J anatambulika kama Mke wa Insider, kimila.
Kwa maelezo haya, sidhani kama ni sahihi kutumia Maandiko kumshauri Insider kuhusu kumuacha Mama J kama Mkewe wa Ujana ilhali Maandiko hayamtambui Mama J kama Mke wa Ujana wa Insider.
Nadhani, tujikite kwenye asili inayomtambua Mama J kama Mke wa Insider ili kuepuka Karma.
Kipekee, pamoja na sifai nzuri za Ireen zilizoelezwa hapa, lakini, Ireen kwa mtazamo wangu, ni Mbinafsi sana. Yeye kushare na Mama J, anaona sawa. Ila, Mwanamke mwingine kushare naye, ni Big No! Kingine, Ireen anaonekana hayupo tayari kuwa chini ya Insider. Utiifu wake una mashaka sana. Ukishaona Mwanamke anakupa masharti kila siku kuhusu kutowaona Watoto kisha uchepukaji, ni changamoto. Beijing imemkaa kichwani na anaona naye ana Haki ya kumuamrisha Mwanaume. Na katika hili, Insider anapaswa kujiandaa nalo mapema ipasavyo. Siku Ireen atakapofikisha Idadi ya Watoto awatakao na wakawa Wakubwa kiasi cha kuendesha Biashara zake, kuna hati hati Insider kunyanyasika. Kwa kweli, Insider asithubutu kumruhusu Ireen kumvuruga na kumwachanisha na Mama J. Maana yake, siku Ireen akiwa ndiyo Mke pekee, sidhani kama Insider atafurahia mahusiano/ndoa husika na Karma itamtesa.
Umewatoa wapi Mzee?View attachment 3133279na huyu ndo Binti wetu wa kihabesh iryn🌚...prove me wrong mkuu insider
Iryn huyu huyu anayesifiwa humu?View attachment 3133279na huyu ndo Binti wetu wa kihabesh iryn🌚...prove me wrong mkuu insider
Story ndefu katka harakat za hapa na paleUmewatoa wapi Mzee?
Teh mkuu hujui kulinganisha kwa maelezo ya insider iryn hafanani hata robo na huyoNdo huyo huyo au hapendezei😂
Perhaps my instincts aren't rytTeh mkuu hujui kulinganisha kwa maelezo ya insider iryn hafanani hata robo na huyo
Mkuu Rayns kuna shido kwani?😂Mkuu, daah 🙌
Vizuri sana kama hujambo rafikiSijambo rafiki, uko poa? Sijakuona muda wapi ulipotelea?
Euphra bhana😂Iryn huyu huyu anayesifiwa humu?
Watu wanachanganya mambo sana. Pindi ya kutoa mahali zinapokutana familia za pande mbili kiumeni na kikeni ndoa hufungwa rasmi siku hiyo kwa kuwa wakati huu kijana na binti huthibitisha mbele ya wazazi wao, ndugu na majirani kuwa wamekubaliana kuwa mke na mume. Na mbele za Mungu hilo linakubalika. Taratibu zinazobaki ni za Jamhuri na dini.Bro soma Biblia vizuri....., nitajie sehemu gani kwenye Biblia iliona ndoa imefungwa kanisani! Taja mstari walau mmoja tu. Tofautisha maandiko na mafundisho ya DINI, ulicho kisema hapa ni mafunzo ya kidini na sio Mungu
Hapana iryn ni huyuView attachment 3133279na huyu ndo Binti wetu wa kihabesh iryn🌚...prove me wrong mkuu insider
Umeitoa wapi hii mkuu? hata mimi naamini niyeye huyuHapana iryn ni huyuView attachment 3135143
At least uyuHapana iryn ni huyuView attachment 3135143
Iryne hawezi kuwa ndezi kama huyu! Mwanamke mwenye akili kama iryne ukimwona sura inajionyesha! Huyu wako kiazi!View attachment 3133279na huyu ndo Binti wetu wa kihabesh iryn🌚...prove me wrong mkuu insider