Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mbona mnalata uchafu humu mnasema Iryn ndio huyu. Hivi hamjawahi kukutana ama kula mademu wakali jamani. Kuna demu akipita wanaume wote ama watu wote wanahairisha shughuli zao
 
I had to take Mama J out for lunch before I travel to South Africa. I told her I’m going to Zambia for research, and she wished me all the best.

She doesn’t know anything about me expecting a second child with Iryn. She also doesn’t know that Iryn is due to deliver another baby this week.

I feel karma might catch up with me. When she finds out the truth, I don’t know what will happen. 💔
Daaamn!! Bruh i can feel ya but gotta stay quiet till she know the truh .. by the way marry both if it was me i will be to going marry dem all
 
Mkumbuke bwana mungu wako, ukatubu usamehewe dhambi zako ufalme wa mbinguni umekaribia na hukumu-ya-moto itatolewa kwa wote ambao mioyo yao inawahukumu kuwa wamemtenda mungu dhambi. Tubu acha dhambi na uokoke ili uhesabiwe haki itokayo kwa kumwamini yesu kristo na moyo wako usikuhukumu ukaurithi ufalme wa mbinguni, kabla ujafia dhambini ukatupwa jehanum ya moto. BWANA WETU YESU KRISTO ATUSAMEHE.
 
Amiin Baba yangu alikuwa Mcha Mungu si unajua wazee wa Kimanyema halafu Mama msomali tena yule mwenyewe Somaliland ilichangia sana kwenye malezi wakali na mimba Mungu anipe afya na umri hint yangu nimlee kwenye misingi mizuri itakayo msaidia kwenye maisha yake.
Kumbe sister wewe ni Muha wa Kigoma? Ndio maana mpambanaji
 
Back
Top Bottom