Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Daaamn!! Bruh i can feel ya but gotta stay quiet till she know the truh .. by the way marry both if it was me i will be to going marry dem all
 
Mkumbuke bwana mungu wako, ukatubu usamehewe dhambi zako ufalme wa mbinguni umekaribia na hukumu-ya-moto itatolewa kwa wote ambao mioyo yao inawahukumu kuwa wamemtenda mungu dhambi. Tubu acha dhambi na uokoke ili uhesabiwe haki itokayo kwa kumwamini yesu kristo na moyo wako usikuhukumu ukaurithi ufalme wa mbinguni, kabla ujafia dhambini ukatupwa jehanum ya moto. BWANA WETU YESU KRISTO ATUSAMEHE.
 
Kumbe sister wewe ni Muha wa Kigoma? Ndio maana mpambanaji
 
Pregnancy has to be planned, you don't produce babies like rats. If it was me, any unplanned pregnancy would call for a lengthy discussion. Not sure if there are any words to convince me to accept anything that was not in my mind/pre-planned.
It is with those reasons, I was reading this story with great interest to learn how others confront/overcome such challenges as they happen.
 
Umemwaga mbegu kwenye shamba la watu bila Kinga then unadai is unplanned? If you don't want to hear about pregnancy then use condom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…