Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hata mimi nimsoma zote hizo
 
Habari zenu wakubwa, nawasalimu. Mambo ni mengi sana kwa sasa, na yananichanganya akili pamoja na masuala ya shule. Kuna baadhi yenu ambao tayari tushakutana humu, na bado ninaendelea kutimiza ahadi zangu taratibu kwa wale niliowaahidi.

Hata hivyo, siwezi kusaidia kila mtu jamani. Ukibahatika ni bahati yako, lakini ukweli ni kwamba wengi mnaniangusha kwenye interview πŸ’”.

Somebody Joseph, umesoma COICT UDSM, naomba unicheki haraka iwezekanavyo. Namba zako hazipatikani, na email hujibu πŸ’”.
 
Mshua hupo! Ningekuja pm japo mimi sio Joseph! Ila pm yako umeifunga!
 
utakuta anashinda tik tok hata email hafungui.....vijana wa hovyo!
 
Nilikuwepo ukumbi wa mwl Nyerere kwenye issues zile za madini but nilihisi utakua unatafutwa na wengi and hence I opted not even to call. Tunasubiri season 3 kwa hamu kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…