Safi, upo vizuriDahh, asa mkuu nimekukosea nin mpaka unitukane?,
Mim nimeichukua humu nimeiunganisha kama ilivyo bila kuongeza chochote, na nilifanya kwa matumizi yangu binafsi kwamba sio nikitaka kuisoma iwe mpaka niwashe data niingie JF, na lengo la kusema hvyo kuiweka hapa n kwa yule mwenye dhamira kama yangu. Sio kibiashara wala kujionyesha. Na ndo maana nkasema muhusika akirifhia nitawawekea watu hapa waipakue wawe nayo japo naona tatizo wengine wasije kuisambaza hadi ikafikia walengwa walotajwa hapa kwa code names.
Asa sijaelewa inakuaje unanitukana asee,
Halafu nimekutag tu mie mwenyewe nimeisoma kama gazeti, nikitulia nitairudia 😂Umecheza kama konami na free epic😂😂
Umezipitia hizi book mkuu. Ninayo KIKOSI CHA KISASI,KIKOMO,NJAMA. Mafuta KUFA NA KUPONA-nafikiri hii ecting nafikiri in Kenya. HOFUInsider ni mstorishaji mzuri kama Willya Gamba ila utofauti wake na Willy Gamba ni masimamgo, Willy alikuwa anaweza kukusimanga hadi ukajicheka. Heko Insider
Kumwambia ukweli hiyo sahau. Mwanaume halisi huwezi kuweka wazi kwa mkeo jambo kama hilo. Labda apambane mwenyewe kujuaHii story imeshanilaza sana usiku mnene mpaka kuimaliza.
Nasubiri kufahamu kama utamwambia Mama J ukweli japo yeye alishahisi kama unatoka na IRyN.
Mkuu well done na ni msimuliaji mzuri sana...
Soma mkuu kwa utulivu🙌Halafu nimekutag tu mie mwenyewe nimeisoma kama gazeti, nikitulia nitairudia 😂
Mgodii Gani huuView attachment 3427110insider unaenda wapi?!