Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Safi, upo vizuri
 
Insider ni mstorishaji mzuri kama Willya Gamba ila utofauti wake na Willy Gamba ni masimamgo, Willy alikuwa anaweza kukusimanga hadi ukajicheka. Heko Insider
Umezipitia hizi book mkuu. Ninayo KIKOSI CHA KISASI,KIKOMO,NJAMA. Mafuta KUFA NA KUPONA-nafikiri hii ecting nafikiri in Kenya. HOFU
 
Hii story imeshanilaza sana usiku mnene mpaka kuimaliza.

Nasubiri kufahamu kama utamwambia Mama J ukweli japo yeye alishahisi kama unatoka na IRyN.

Mkuu well done na ni msimuliaji mzuri sana...
Kumwambia ukweli hiyo sahau. Mwanaume halisi huwezi kuweka wazi kwa mkeo jambo kama hilo. Labda apambane mwenyewe kujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…