Jinga kweli hilo , ajaribu na yeye tuoneAl ni ujinga gani unaongea we nae fala wa mitandao.
Huyo Anaandika live we umekomas na AI,
Unajua matumizi yake bwege wewe.
𝒕𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒌𝒊𝒑𝒊𝒏𝒅𝒊 𝒉𝒊𝒌𝒊 𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒖𝒏𝒈𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 90
INSIDER MAN unaota au? 😂😂😂Nakupenda maa
Basi njoo maa
Mi kila saa kabisa kwako kichaa
Girl just listen, tuishi kwama Eden
Nakuweka kwenye top 10
Nadata na reception
Mi nachoka hoi, pande zote huniboi
Niite baby boy nitumie achana na toy
Clothes, vipodozi, mapozi yamekwenda course
Na sasa dozi na hisia za machozi
Na napenda zako nywele ndefu
Zimekwenda shule
Upande wa maumbile
Nadata toka pindi ile
Sura yenye mvuto
Mashavu yenye dimpose
Sura yenye mvuto
Mashavu yenye dimpose
TumeingiliwaINSIDER MAN mkuu tunaomba muendelezo hata kidogo kabla Ban ya JF haijaanza 🥲View attachment 3466771
Ata umri ni namba tuu,Ninaposoma hii story natamani miaka irudi nyuma ila ni too late, vijana fanya unachoweza kufanya ujanani mwako umri ukisonga ndo imetoka haiwezekani kurudisha miaka nyuma na dunia inaenda kasi sana
Dah ! Tanzania yanguMkuu INSIDER MAN naomba Ushauri kidogo hapa Dogolasi kamaliza 6 ndio naingia chuo sahiv
Ameniuliza ni course gani kwenye Mambo ya Finance iko poa zaidi asomee NIMESHINDWA kumjibu Hebu nipe Mwanga
Mbona masikitiko makumbwa Mkuu?Dah ! Tanzania yangu
Same!!Ninaposoma hii story natamani miaka irudi nyuma ila ni too late, vijana fanya unachoweza kufanya ujanani mwako umri ukisonga ndo imetoka haiwezekani kurudisha miaka nyuma na dunia inaenda kasi sana
BAF - Accounting & Finance.Mkuu INSIDER MAN naomba Ushauri kidogo hapa Dogolasi kamaliza 6 ndio naingia chuo sahiv
Ameniuliza ni course gani kwenye Mambo ya Finance iko poa zaidi asomee NIMESHINDWA kumjibu Hebu nipe Mwanga
Huyu bado hana clue ya koz ipi inampa kipi ila kifupi tu ana interest na mambo ya FEDHA kiujumla. Kwenye hilo ndio mana kaniuliza mimi.BAF - Accounting & Finance.
Yeye anataka kuwa nani?.
Mkuu yule mmasai aliyekusaidia unaweza nisaidie kucontact nayeBAF - Accounting & Finance.
Yeye anataka kuwa nani?.