Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa wanaojua kutumia AI, unaweza kuandika story kama hii! Kwa mtu aliyebize na ajira, biashara, baba, michepuko, safari, kiongozi, nk., huwezi kuandika story ndefu kama hii usijikwae na kukosea context-link kama ilivyo kwa INSIDER MAN. I am sure 100% hii story imeandikwa na AI
HEBU NA WEWE TUMIA AI KUANDIKA HADITH KAMA HII ILI KUTHIBITISHA
 
Kuna kosa la kimahudhui. INSIDER MAN ameajiriwa tena ana biashara zake Dodoma. Jane ni mwanamke wa kawaida sana alikuwa mchepuko wa mzee Pama. INSIDER MAN ndiye aliyemsaidia kuanzisha biashara A-Z. Kwa mukutadha wa story hii INSIDER MAN alivyosmart eti anaenda kufanya ubia na Jane kuanzisha kampuni? Kwa lipi kutoka kwa Jane? Hapo katupiga!
 
Inategemea mnavyohitajiana. Mnaweza kuanzisha Kampuni bila kujali kiwango cha elimu ya mwingine kwa kuwa ili kuendesha kampuni mnahitaji professionals sio nyinyi ndio mtasimamia day to day activities.

Sasa hebu fikiria mfano wa Insider ambaye ni mhasibu akatoa huo ujuzi wake kusimamia kampuni halafu Jane akatoa mtaji kutoka kwenye pesa alizopata kwa Mzee Pama then wakafanya recruitment ya human resource , huoni mambo yakisonga licha ya Jane kutokuwa na Elimu na akawa mkurugenzi? Hapo ubize wa Insider au ukawaida wa Jane unazuia vipi kuanzisha kampuni? Kampuni sio duka la nguo bro
 
Kuna kosa la kimahudhui. INSIDER MAN ameajiriwa tena ana biashara zake Dodoma. Jane ni mwanamke wa kawaida sana alikuwa mchepuko wa mzee Pama. INSIDER MAN ndiye aliyemsaidia kuanzisha biashara A-Z. Kwa mukutadha wa story hii INSIDER MAN alivyosmart eti anaenda kufanya ubia na Jane kuanzisha kampuni? Kwa lipi kutoka kwa Jane? Hapo katupiga!

Kuna kosa la kimahudhui. INSIDER MAN ameajiriwa tena ana biashara zake Dodoma. Jane ni mwanamke wa kawaida sana alikuwa mchepuko wa mzee Pama. INSIDER MAN ndiye aliyemsaidia kuanzisha biashara A-Z. Kwa mukutadha wa story hii INSIDER MAN alivyosmart eti anaenda kufanya ubia na Jane kuanzisha kampuni? Kwa lipi kutoka kwa Jane? Hapo katupiga!
Hajatupiga! Kama sikosei kumbukumbu ya ahadi ya Insider na mzwe Pama kuwa karibu na Jane kwani yeye pekee anajua hiyo arrangement.Unakumbuka he moved jane hospitals so as she could deliver her son normally. ie without Cesarean section op. He was extremely lucky it turned out right, otherwise tungesoma mengine. Therefore, He is close and takes up responsibilities kama shem kwa maendeleo ya Jane, mtoto na yake pia.He dedicated a section in memory of mzee Pama.
 
Kwa wanaojua kutumia AI, unaweza kuandika story kama hii! Kwa mtu aliyebize na ajira, biashara, baba, michepuko, safari, kiongozi, nk., huwezi kuandika story ndefu kama hii usijikwae na kukosea context-link kama ilivyo kwa INSIDER MAN. I am sure 100% hii story imeandikwa na AI
sidhani anatumia AI. Nowadays Ai becomes suspect unnecessarily kwa kuwa ni buzz word. You should know what Ai is first.Navoelewa Insider anarecall interactions then anatumia ubunifu kuandika kwa mtiririko mzuri.sometimes he goes really far to detail the encounters nyingine anatunga tu.mfano he got caught in same ticket lie twice by mama J.it makes you wonder how careless would he be
 
Kwa wanaojua kutumia AI, unaweza kuandika story kama hii! Kwa mtu aliyebize na ajira, biashara, baba, michepuko, safari, kiongozi, nk., huwezi kuandika story ndefu kama hii usijikwae na kukosea context-link kama ilivyo kwa INSIDER MAN. I am sure 100% hii story imeandikwa na AI
Na baadhi ya picha alizoweka ni AI?

Wewe utakuwa mgeni hapa

Watu walienda kufukunyua mpaka hilda wamempata naye ni AI?
 
sio hilda tu.. dada yake wa Arusha ni jiran yangu...
Dah mkuu kweli? Watu mnajua kufukunyua sana

Sasa huyu jamaa leo anatuambia ni AI licha ya story kuchukua almost two years means matukio yanazidi kuja kutokana na movement za wahusika.
 
Wengi wanaomsuport Iryn sjui Insider ni mawazo tumafinyu au urefu wa kamba ya iryn basi kijana anaona Insider kajipata, ila....
Havinaga muda, uyo dada anakuja kasi eti atajitambulisha mwenyewe, ili tu wafarakane na mama j kusudi apate kuolewa yeye kwa umri nlionao na mengi nliyo ona ya hivi hayakudumu unashangaa mume anarudi kwa bi mkubwa yooote aliyofuata kule sjui yanaishiaga wapi
Utapasuka bure mama. Mbona Iryn na mama J hawana utofauti...! Yoyote kati yao mbona fresh tu. Usione mama J katangulia ndio ukaona ni mkamilifu kuliko Iryn. Wanawake wa siku hizi wote ni mle mle tu
 
Hadi sasa bado hatujaanza hata kuonja utamu wa hii life story.

Hizi Chapter tano za mwanzo ni kipindi tu cha maandalizi ni kipindi nilichokuwa nimetoka South. Hata mwezi wa Agosti hatujaanza bado, bado tuko tunamalizia Julai!. Ni kama nasafisha njia ya safari tu.

Lakini huko mbele ya safari, mambo ni magumu sana, si kwa mtu mwenye roho nyepesi💔. Nasema hivi sababu najua kuna watakao nitusi, nilaumu kwa baadhi ya maamuzi magumu niliyokuwa nachukua nknk.

Nawaomba mpunguze ushauri wa masuala ya nyuma. Kwa ufupi Maisha yangu yamekuwa ya mikiki sana tangu Iryn ajifungue hadi sasa, naomba mnielewe.

Kuandika na kuendeleza hii story si kazi rahisi. Sio kwamba sielewi ninachofanya, but nataka mjifunze, mpate somo kupitia haya maisha. Mkiona nimechelewa kidogo kuleta muendelezo, jua ratiba zimeingiliana… lakini tuko pamoja sana.

Matukio ya Season 3 ni kutoka July 2023- June 2024. Kipindi nawapa season 1 nilikuwa ndo napambana na haya majanga.

Insider is back on track.

Tukutane kesho kwa Chapter 6!
 
Kwa wanaojua kutumia AI, unaweza kuandika story kama hii! Kwa mtu aliyebize na ajira, biashara, baba, michepuko, safari, kiongozi, nk., huwezi kuandika story ndefu kama hii usijikwae na kukosea context-link kama ilivyo kwa INSIDER MAN. I am sure 100% hii story imeandikwa na AI
Mwambie AI amalizie chapter zilizobaki maana muendelezo anao 😂😂kuweni serious kidogo.
 
Hadi sasa bado hatujaanza hata kuonja utamu wa hii life story.

Hizi Chapter tano za mwanzo ni kipindi tu cha maandalizi ni kipindi nilichokuwa nimetoka South. Hata mwezi wa Agosti hatujaanza bado, bado tuko tunamalizia Julai!. Ni kama nasafisha njia ya safari tu.

Lakini huko mbele ya safari, mambo ni magumu sana, si kwa mtu mwenye roho nyepesi💔. Nasema hivi sababu najua kuna watakao nitusi, nilaumu kwa baadhi ya maamuzi magumu niliyokuwa nachukua nknk.

Nawaomba mpunguze ushauri wa masuala ya nyuma. Kwa ufupi Maisha yangu yamekuwa ya mikiki sana tangu Iryn ajifungue hadi sasa, naomba mnielewe.

Kuandika na kuendeleza hii story si kazi rahisi. Sio kwamba sielewi ninachofanya, but nataka mjifunze, mpate somo kupitia haya maisha. Mkiona nimechelewa kidogo kuleta muendelezo, jua ratiba zimeingiliana… lakini tuko pamoja sana.

Matukio ya Season 3 ni kutoka July 2023- June 2024. Kipindi nawapa season 1 nilikuwa ndo napambana na haya majanga.

Insider is back on track.

Tukutane kesho kwa Chapter 6!
ila kusema ukwel anayemdinya mama J anafaidi maana ww uko bize na wengnelazma atakuwa na sideman...!
 
Back
Top Bottom