Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mwendelezo mzuri ila nimenote inconsistency ya Inside man kutokupajua kwa Jane.Pia exaggerations kwenye interactions zao hasa na Mary, a woman he had been hitting since his days in Dodoma.Pia nature ya biashara yao salon na waajiriwa less than 50 na kuuza cosmetics sasa anapoandaa CSR sijui how immediately impactful they are .naona mbwembwe tu.Never mind ni story nzuri tu na ingependeza kusoma more male characters kama enzi za muajemi.yani hapo akitokea dume moja hivi ikaanza kubeba moja baada ya mwengine nakwambia insider atamaind mbaya kama alivyokuwa nanamaind wakati Iryn anafanya OF.onlyfan.kama alivyokuta crown imepaki nje kwa asmah,au kule kwa Prisca kakuta njemba ndani
 
Hata ukisomaga mengine huwa una note inconsistency pia. Chukulia Kama burudani iwe kweli isiwe kweli haiwezi kukubadilishia Maisha yako Kama una earn 600M haitoongezeka Wala kupungua. Hiyo brain Bora ukaitumia kufanya mambo yenye kuleta faida kwa your bloodline
 
you're certainly right kuwa ni burudani one could pass time reading and enjoy

However,by ascertaining discrepancies in the story suggests of authenticity of the writer, whether intentionally or not looks to mislead us.
Look,He participated in the finishing of The house Jane lives.May be she moved and rented out the apartment that's why Insider wants to go visit.I might overlooked that part

Parallel,the snippet not only entertains us but gives tricks the man uses at his disposal to lure in beautiful women,How he goes about securing a contact leo tumesoma how the net is closing in to Savinna.His schemings and foreknowledge he compiles off his targets is supperb see SIA.yani jamaa ana IQ kubwa
ananilet down tu pale anasahau protection pia He could be a narcissist in his treatment to mama J and during break ups.How he hurt women's feelings .as of now none has turned violent towards him.It is a emotional dangerous game he is playing
 
Hii story watu wanakula sana aiseeee kidogo tyu lanchi kidogo dinner kidogo lanchi aiiiiiiii watu wamekula sana alafu kuonana kumekuwa kwingi jambo dogo tyu la kuongea kwenye simu mpaka watu waonane aiseeeeee

Alafu kuna muda ukiisoma story unaona kama picha la kihindi ivi 😂😂😂😂😂
Hata mimi jambo la kwenye simu tuonane ni vile unakuwa huna mpunga wa kwenda hizo advanced restaurant kila mara.
 
Mwendelezo mzuri ila nimenote inconsistency ya Inside man kutokupajua kwa Jane.Pia exaggerations kwenye interactions zao hasa na Mary, a woman he had been hitting since his days in Dodoma.Pia nature ya biashara yao salon na waajiriwa less than 50 na kuuza cosmetics sasa anapoandaa CSR sijui how immediately impactful they are .naona mbwembwe tu.Never mind ni story nzuri tu na ingependeza kusoma more male characters kama enzi za muajemi.yani hapo akitokea dume moja hivi ikaanza kubeba moja baada ya mwengine nakwambia insider atamaind mbaya kama alivyokuwa nanamaind wakati Iryn anafanya OF.onlyfan.kama alivyokuta crown imepaki nje kwa asmah,au kule kwa Prisca kakuta njemba ndani
Sio onl

Sio only fans.com
Ni site nyingine! Tu mfano Kama zile dating sites
 
Ni AI kweli.
Nope! it can't be .How would one use an AI in the Novel.what a waste of resource.I just remembered characters and what had happened to them.More interesting ones keep coming however women feature most in his circle of friends.Peruse thoroughly

In some scenes he could put in such that would enthrall us but he comes a bit short to doing that.All in all the thread is slowly picking up interest and responses keep piling up .there's got to be some appreciations for he spares his time to write and post the narratives free of charge just to keep you in the addiction.Many big ups
 
Sio onl

Sio only fans.com
Ni site nyingine! Tu mfano Kama zile dating sites
Iryn wasn't dating but offered massage service to men after getting linked up through some websites she subscribed t😵ne such site could be onlyfans. Many credits to her to have ceased engaging in such activity and refocused to being a mother and went on to further her studies.Chances are that,she could resume for it had become a habit and this would come about when circumstances permit.
 
Nature ya onlyfans ilivo haiendani na Kaz alizokua anafanya irene! Hapo lazima itakua sites za escorts .etc
 
Nope! it can't be .How would one use an AI in the Novel.what a waste of resource.I just remembered characters and what had happened to them.More interesting ones keep coming however women feature most in his circle of friends.Peruse thoroughly

In some scenes he could put in such that would enthrall us but he comes a bit short to doing that.All in all the thread is slowly picking up interest and responses keep piling up .there's got to be some appreciations for he spares his time to write and post the narratives free of charge just to keep you in the addiction.Many big ups
 
Attachments

  • Screenshot_20250902_222337_Chrome.jpg
    Screenshot_20250902_222337_Chrome.jpg
    337.1 KB · Views: 60
Hata mimi jambo la kwenye simu tuonane ni vile unakuwa huna mpunga wa kwenda hizo advanced restaurant kila mara.

Iryn wasn't dating but offered massage service to men after getting linked up through some websites she subscribed t😵ne such site could be onlyfans. Many credits to her to have ceased engaging in such activity and refocused to being a mother and went on to further her studies.Chances are that,she could resume for it had become a habit and this would come about when circumstances permit,
Iryn wasn't dating but offered massage service to men after getting linked up through some websites she subscribed t😵ne such site could be onlyfans. Many credits to her to have ceased engaging in such activity and refocused to being a mother and went on to further her studies.Chances are that,she could resume for it had become a habit and this would come about when circumstances permit.
Ila jamaa una kingereza flani hivi Ngumu kumeza🙌🏾😂🔥

you're certainly right kuwa ni burudani one could pass time reading and enjoy

However,by ascertaining discrepancies in the story suggests of authenticity of the writer, whether intentionally or not looks to mislead us.
Look,He participated in the finishing of The house Jane lives.May be she moved and rented out the apartment that's why Insider wants to go visit.I might overlooked that part

Parallel,the snippet not only entertains us but gives tricks the man uses at his disposal to lure in beautiful women,How he goes about securing a contact leo tumesoma how the net is closing in to Savinna.His schemings and foreknowledge he compiles off his targets is supperb see SIA.yani jamaa ana IQ kubwa
ananilet down tu pale anasahau protection pia He could be a narcissist in his treatment to mama J and during break ups.How he hurt women's feelings .as of now none has turned violent towards him.It is a emotional dangerous game he is playing
Ila we Jamaa una kingereza flani hivi Ngumu kumeza 😂🔥🙌🏾..Misamiati yako ni noma
 
Kwa wanaojua kutumia AI, unaweza kuandika story kama hii! Kwa mtu aliyebize na ajira, biashara, baba, michepuko, safari, kiongozi, nk., huwezi kuandika story ndefu kama hii usijikwae na kukosea context-link kama ilivyo kwa INSIDER MAN. I am sure 100% hii story imeandikwa na AI
 
Back
Top Bottom