Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

𝒕𝒖𝒇𝒂𝒏𝒚𝒆 𝒏𝒊𝒏𝒊 𝒌𝒊𝒑𝒊𝒏𝒅𝒊 𝒉𝒊𝒌𝒊 𝒄𝒉𝒂 𝒌𝒖𝒇𝒖𝒏𝒈𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒌𝒖 𝟗𝟎
 
Insider leta episode kadhaa hapa kabla giza halijaongezeka.
 
INSIDER MAN unaota au? 😂😂😂
 
Ninaposoma hii story natamani miaka irudi nyuma ila ni too late, vijana fanya unachoweza kufanya ujanani mwako umri ukisonga ndo imetoka haiwezekani kurudisha miaka nyuma na dunia inaenda kasi sana
Ata umri ni namba tuu,
Tupambane, Mungu yu nasi sikuzote.

Tukiona giza limekaza tujue mwanga umekaribia wanangu... onl God know our tomorrow😊
 
Mkuu INSIDER MAN naomba Ushauri kidogo hapa Dogolasi kamaliza 6 ndio naingia chuo sahiv
Ameniuliza ni course gani kwenye Mambo ya Finance iko poa zaidi asomee NIMESHINDWA kumjibu Hebu nipe Mwanga
 
yaani utakuja kumfikia kyagata au hauwaulizi akabila? 😱😀😀
hivi unatumia kinga kwa hao wasio wawili wako?

tulikuambiaga tangu season ileee Mary atakumaliza. ila una roho mbaya kutamani nae mtoto na huku una wanawake wengine... kuna upande hujitambui.. your Mum alisema juu ya hiyo family haukumsikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…